Mkuu Wanasiasa Ni watu Kama wewe na wengine wanabusara zaidi hata ya wewe,
Kwahiyo usemacho nikweli hata mhusika hajataka kuliongelea Tena baada ya kutoka hospital maana ilikuwa mistake ya pombe na wala siyo shambulizi.
#Siasa siyo uadui Wala chanzo Cha kuvunjiana heshima. Ikumbukwe Kuna maisha nje ya Siasa.