Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Hahahhahahaha pole mkuu.
Ndiyo shida ya kudate mwanamke jobless.
Mwanamke mwenye kazi anakuja ijumaa j2 yupo kwenye gari anarudi.
Fanya kumtumia vitu vyake kwenye bus.
Sijui kwanini nacheka mbavu sina. Mada yake au comment yako. Et alizifanyaje tshirt zake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ulifikiri unapikiwa, unafuliwa na kusafishiwa nyumba bure????? na ule ufundi wa kukatika uliouonyesha ulidhani bure bure tu.... loooooo wanaume wa dar jueni kula na kulipa.... na badooo atarudi tena kwa kasi mpya
Huyu wa mkoani mkuu,wa Dar wameshazoea matumizi siyo kulia lia kindezi
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Starehe gharama Mkuu,na unaposikia gharama sio pesa pekee ni mpaka na yatokanayo na starehe hiyo/hizo..
Boss nimeamini. Yani mm sina tofauti na mtu aliyelewa na kupoteza simu na pesa zake
 
Boss usinifanyie ivo basiiiiii
Unanishangaza unavyofanya vitu kwa kulalamika. Nauli ya ndege umelalamika..kwani kulikuwa na haja gani ya kukubali kama moyo wako haujaridhia? Na mwezi ujao anakuja kuchukua vitu vyake...ha haaaa atakaa miezi 6 ndoa hiyo tayari.
 
Nilishaapa sintompeleka demu wangu nyumbani kwangu.
guest tu.tutamaliza vyumba vyote vya guest.lakini si kumpeleka kwangu.
 
Mama Tshirt zangu tu uwiiiiii
Sijui kwanini nacheka mbavu sina. Mada yake au comment yako. Et alizifanyaje tshirt zake?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Back
Top Bottom