Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Hapana itakuwa mbali sana na dar nauli ya ndege 300k tena booking siku nne nyuma

Hakuna cha nauli ya ndege hapo anajitutumua tu. Kama anaweza kulipa nauli 300k asingelalamika mtu kuvaa vitrak suti vya elf kumi kumi kariakoo! eti gharama za nguo zake ni 700k! ha ha haaaa
 
Alikuwa anafurahia kuona pingili pingili zikiwa kwenye track'suit zake. Asingeweza kumpa za uso.

Namshauri vitu vyote alivyotumia huyo manzi Afanye kumtumia tu yeye anunue vipya. Kwani laki saba ni mbali kiasi gani??
Siwezi kumlipisha boss. Itakua beef sasa
 
Starehe gharama Mkuu,na unaposikia gharama sio pesa pekee ni mpaka na yatokanayo na starehe hiyo/hizo..
 
Hakuna cha nauli ya ndege hapo anajitutumua tu. Kama anaweza kulipa nauli 300k asingelalamika mtu kuvaa vitrak suti vya elf kumi kumi kariakoo! eti gharama za nguo zake ni 700k! ha ha haaaa
Mkuu hilo yeye sasa ninachikuwa na ushaidi ni typing yake
 
T-shirt yako iliyotanuka kifuani na kutoka chuchu. Tupia picha mkuu niione[emoji23][emoji23]
 
Hakuna cha nauli ya ndege hapo anajitutumua tu. Kama anaweza kulipa nauli 300k asingelalamika mtu kuvaa vitrak suti vya elf kumi kumi kariakoo! eti gharama za nguo zake ni 700k! ha ha haaaa
Boss mtu chake. Unajua ugumu wa kudispose mali na kununua upya??? Pesa ninayo. Sina umasikini
 
Back
Top Bottom