Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Boss issue ni kwamba kafanya uharibifu. Issue sio kuvaa nguo. Ishu ni kuziharibu

Sa siununue zingine ukilalamika hapa nani atakusaidia. Alafu kipindi akivaa si ulikuwa unamuona kwa nini hukumkataza? Yaani kwa ishu hii huna cha kujitetea zaidi ya kujiaibisha tuu. Ungemnunulia nguo angevaa za kwako? Usije sema ulimnunulia coz hata maelezo yako yanaonyesha kuwa mtoto wa watu hakuja na viwalo zaidi ya vijikanga tuu
 
Boss hii ni case study watu wajifnze. Nadhani hata ww umejifunza kitu
 
yeah! Watu wajifunze wasiwe kama wewe. Nguo zinauzwa elfu 15 tuu, mtu anakufulia, anakupikia, anakusafishia nyumba, unamgegeda bado ishu kama hiyo unaiona ndio ya kulalamika khaaaak!

Njoo kwenye bajeti aliyokusave huyo Manzi ulipokuwa naye:-
Kumgegeda per day 10,000/= kama ungeenda kununua makahaba. Kwa mwezi 300,000/=
Chakula per day 3000/= Kama ungekula kila jioni kwa mama n'tilie 90,000/=
Mfanyakazi wa ndani ambaye angekuwa anapika, osha vyombo na kukufulai 50,000/=
Voucha per day 500/= kwani ungekuwa unawasiliana naye akiwa mbali 15,000/=
Jumla 455,000/=
 
Ahahahaaahahha Iyo breakdown nimeielewa
 
Back
Top Bottom