Mrs Gudman
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 613
- 1,300
Mwanaume smart, gentle awezi kuwa na argument kama zako bro, yani mtu umeamua kuwa naye in relationship then kutumia tu sweta lako inakuwa so, mara masweta nilinunua uturuki mara nikamkatia tiketi ya ndege haya yote soooo whatAisee wewe ni mtetezi wa haki za wanawake??Ngoja nikuunganishe na watu wa Gender network. Utatufaa sana kumaliza ukandamizaji wa kijinsia
#Unafikiri yeye hana hadhi ya kutumia kitu chako, kama unaweza kumtumia why uumie akitumia vyako?? (Selfishness )