Yani nimekasirika kinomaa. Wanawake acheni hii tabia

Bila shidaShe is good at all. Ame mess mambo machache tuu. Pia sio mtu wa type yangu. Ningekuwa nampenda ninge handle hii situation bila shida
Kwanini sio wa type yako?

Mambo gani yanamiss hapo kwenye sio type yako?
 
Mwanaume gani unalalama vitu vidogo kama hivi
Ukioa utakuwa na roho mbaya mpaka kwa watoto wako
Shenzi we
Wanaume wakweli hawalalami mtandaoni
 
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1]
Mwanaume gani unalalama vitu vidogo kama hivi
Ukioa utakuwa na roho mbaya mpaka kwa watoto wako
Shenzi we
Wanaume wakweli hawalalami mtandaoni
Ningekuwa karibu ungenitia kofii
 
Mambo madogo madogo. Kitu cha kwanza ni Umri. Japo sio matter sana. Ishu ya pili ni Haiba. Hapa ndio kuna changamoto. Hivi unajua unaweza ukawa na mwanamke ndani hata wakija wageni wako hawezi kuwapokea. Yani nahitaji mwanamke ambaye ni Definitely meaning ya Neno WIFE
Kwanini sio wa type yako?

Mambo gani yanamiss hapo kwenye sio type yako?
 
Dah kwaio suruar yako anavaa? Duh kama msambwanda si haba nawaza hapa mkitembea njian inakuaje😡😡😡😡😡😡😡
 
Eti gharama kama nguo za laki 7 manina wee hujui iyo ni gharama ya chupa moja ya pafume [emoji3]
 
Mambo madogo madogo. Kitu cha kwanza ni Umri. Japo sio matter sana. Ishu ya pili ni Haiba. Hapa ndio kuna changamoto. Hivi unajua unaweza ukawa na mwanamke ndani hata wakija wageni wako hawezi kuwapokea. Yani nahitaji mwanamke ambaye ni Definitely meaning ya Neno WIFE
Kuna mambo mengine yanahitaji kuelekezwa tu na kufundishana hasa kama muhusika ni mtu kufundishika....

Ulishajaribu hilo? Isije ikawa unatafuta perfect woman wakati hakuna mkamilifu zaidi tunatimilishana tu kwa kuvumiliana na kuelekezana kila siku
 
Kuna mambo mengine yanahitaji kuelekezwa tu na kufundishana hasa kama muhusika ni mtu kufundishika....

Ulishajaribu hilo? Isije ikawa unatafuta parfect woman wakati hakuna mkamilifu zaidi tunatimilishana tu kwa kuvumiliana na kuelekezana kila siku
Unajua kuna stage ambayo unaweza muona mwanamke yupo ila she need some polish aweze kuendanA na kasi yangu.

Ila kuna wanawake vichef chefu yana hana orientation kabisa ya kuwa mke. Hata ukiongea nae hana focus ya kuwa mke. Yani hajui kuplay part yake kama mke.

Unajua mwanamke ndio mtu wa ku initiate Ndoa kwa kumshawishi mwannaume lakini mtu hana muda huo.

Najua hakuna perfect woman as u said. Ila kuna wanawake huwa tunawaita “WIFE MATERIAL.”

Yani ukikutana na mwanamke wa namna hii, jinsi alivyo vaa, anavyo ongea, anavyo behave yan unakosa kabisa neno juu yake
 
Kila mtu na standard yake ya maisha. Iyo laki 7 nvi gharama kubwa kwangu. Mimi sio kama wanaume wengine wa JF wenye Nyumba na magari
Eti gharama kama nguo za laki 7 manina wee hujui iyo ni gharama ya chupa moja ya pafume [emoji3]
 
Unajua kuna stage ambayo unaweza muona mwanamke yupo ila she need some polish aweze kuendanA na kasi yangu.

Ila kuna wanawake vichef chefu yana hana orientation kabisa ya kuwa mke. Hata ukiongea nae hana focus ya kuwa mke. Yani hajui kuplay part yake kama mke.

Unajua mwanamke ndio mtu wa ku initiate Ndoa kwa kumshawishi mwannaume lakini mtu hana muda huo.

Najua hakuna perfect woman as u said. Ila kuna wanawake huwa tunawaita “WIFE MATERIAL.”

Yani ukikutana na mwanamke wa namna hii, jinsi alivyo vaa, anavyo ongea, anavyo behave yan unakosa kabisa neno juu yake
Okei nimekupata.... Sasa umejipangaje akirudi? Au bado hujawaza what next
 
Back
Top Bottom