Yanga wamshitaki Barbara, Simba wamshitaki Manara

Tulia wewe! Yanga ndiyo timu kubwa kuliko zote nchini.
Na ndiyo maana inaitwa timu ya wananchi wa Tanzania. Siyo timu ya Wahindi hii.
Mkubwa mbele ya geita, mbuni FC. Kwa mpira huu wa Africa, Yanga Ina ukubwa gani.

Tengenezeni timu ya ushindani mkashindane na wakubwa. Acheni umaandazi. Yanga ikicheza kimataifa ni imeenda Zanzibar, kombe la mapinduzi.
 
Mwanaume kamili hawezi hata siku moja kudharau kazi za wanaume wenzake!

Dogo unatakiwa ujitathmini.
wewe Pimbi ulivyosema Simba timu ya wahindi ulimaanisha nn?

Mimi nakupa history ya kweli ya Yanga,,
Wewe umeona dharau.

Yanga imeanzishwa na makuli wa bandarini..
Uliza vizuri history uelezwe.

Sasa kama dharau unaileta wewe.
Ukweli ndy huo..
 
wewe Pimbi ulivyosema Simba timu ya wahindi ulimaanisha nn?

Mimi nakupa history ya kweli ya Yanga,,
Wewe umeona dharau.

Yanga imeanzishwa na makuli wa bandarini..
Uliza vizuri history uelezwe.

Sasa kama dharau unaileta wewe.
Ukweli ndy huo..
Sasa makuli ndiyo unafananisha na hayo magabachori yako! Hopeless kabisa wewe.
 
Back
Top Bottom