Haya wana Yanga SC kaandamaneni CAF kwani CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez 'aula' huko

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
56,694
109,127
Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika

Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?

Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
 
Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.ete m
Lete habari...
 
Lete habari...
E6D6AA48-3AB8-418E-BB55-8CDD088518FA.jpeg
 
CEO wa Simba SC Barabara Gonzalez aula CAF kwa Cheo Kikubwa kama Mwanamke wa Kwanza na pia kutokea Tanzania.

Ukiwa Simba SC Dunia itakutambua tu kwani ndiyo Timu pekee yenye Mashabiki Werevu na Wasomi Tanzania nzima.
Kweli tule mtori nyama tutazikuta chini.
 
CAF wamechagua demu kubalance Beijing gender balance equation tu kumuenzi bibi yetu Queen Elizabeth II aliepandisha bus Marais 65 weusi tena wamechagua mtu mwenye Rangi nyeupe ya kwao wabaguzi sana wale na pia wanataka demu pisi kali unaambiwa kuna mtu yuko CAF 'kamuelewa' sana Barabara!!

Uteuzi huu japo barua hakuna kama ni kweli ni namna ya CAF kuwapoza na kuwafariji Simba "chama la dunia" baada ya msimu kuisha bila kombe hata la Ndondo Cup! tena Pisi kali kapewa ujumbe wa kamati tunajua kamati kukutana huwa mara tatu kwa mwaka! Eng Hersi tunataka apige hesabu Urais wa CAF au FIFA baada ya kuchukua Ndoo ya CAF kamati kitu gani!

Yanga daima mbele
 
CAF wamechagua demu kubalance equation tu tena ni mtu mwenye Rangi nyeupe ya kwao wabaguzi sana wale na pia wanataka demu pisi kali unaambiwa kuna mtu yuko CAF 'kamuelewa' sana Barabara!!

Uteuzi huu japo barua hakuna kama ni kweli ni namna ya CAF kuwapoza na kuwafariji Simba "chama la dunia" baada ya msimu bila kombe hata la Ndondo Cup! tena Pisi kali kapewa ujumbe wa kamati tu kukutana mara tatu kwa mwaka!

Yanga daima mbele
Leo mtasema yote tu Kudadadeki zenu.
 
Mwambieni Haji Manara wenu kuwa anajisikiaje kuwa pamoja na Kumchafua Kutwa CEO wa Simba SC Barbara Gonzalez ila bado wenye Akili Kubwa Watu wa CAF wamempa Cheo Kipya, Kikubwa na cha Heshima ndani ya CAF na Mpira wa Afrika

Mkiambiwa Simba SC ni Timu Kubwa na kamwe msijifananishe nayo muwe mnatuelewa sawa?

Injinia Hersi Said ( Rais wa Yanga SC ) ataishia tu kuwa Rais hapo Kwenu ila huku Kwingine ni Maji Mazito Kwake kwani huwa hakuna Uswahili, Wivu na Majungu aliyoyazoea na mnayoyazoea.
Barbara huyu huyu unayemponda hapa jukwaani kwamba hafai na anaiharibu Simba?
 
Huyu ni kichaa mkuu, usimchukulie serious.

Tiba afungwe Kamba Kwa lazima apelekwe kupata matibabu.
 
Attachments

  • FB_IMG_1661713953336.jpg
    FB_IMG_1661713953336.jpg
    17.8 KB · Views: 6
Back
Top Bottom