secretarybird
JF-Expert Member
- Aug 22, 2024
- 23,072
- 48,547
Alhamdullilah
Tulipokuwa tunawaambia washinde mechi zao zote za nyumbani ndipo waanze kufikiria habari ya robo fainali wakawa wanatuona domokaya. Hapana ganda la ndizi kwenye Champions league.Hii itawafanya wajue kumbe Kuna kombe la mwakarobo na la ranking. Walifikiri kuingia robo mfululizo ni porojo porojo tuu. Simba aliwahi ongoza kundi lenye Al ahly
Mama amefanya vyema sana. Tunamshukuru.Mama anazidi kuupiga mwingi hadi kimataifa 😂
Hahaha 😂.Pongezi ziende kwa bi chura anauchapa mwingii
Inasemekana ana uwezo mkubwa sana. Sijui kama ni kweli.Huyo samuya ni mafiga mawili tu ukweli usemwe, tuamini katika mizimu tu.
Hii ☝️ nimeipenda bure!
Mbogamboga wametuletea laana kwenye kila kituNgoja tukaze buana kuomba neema za mizimu huenda kunamuujiza utatokea kusikojulikana, anyway samuya amefanya nchi imelaaniwa.
Matracco matupu hao waeneza propaganda hawajielewi.Inasemekana ana uwezo mkubwa sana. Sijui kama ni kweli.
Wametulaania sana nchi, haya kavute ganja zako ukishiba utageuka.Mbogamboga wametuletea laana kwenye kila kitu
damu za watu zinawalilia kila siku.
mkuu naenda chimbo kula kaya
karibu!
Hahaha 😂, noma sana.Matracco matupu hao waeneza propaganda hawajielewi.
😃😄😁😁