Yanga vs Simba April 18 2010

List ya Mabingwa
1.Circovik
2.Nsajigwa
3.Nurdin
4.Canavaro
5.Owino
6.Bon
7.Ngasa
8.Idd
9.Ambani
10.Mwalala
11.Shamte
Hicho ndicho kikosi cha nguvu

kikisaidiwa na nguvu za giza..hata mwandike ninawasisi mlimpa hongo maana tulikuwa tumejiandaa kuvunja ndoa yenu na Manji...anyway next time....acha tukubali matokeo ingawa inauma..............
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini

Kwa ujumla washabiki wa simba ni wabishi hawakubali hata siku moja kwamba kufungwa ni sehemu ya mchezo wao hudhani kufungwa ni hujuma.
LoL,

Hizi ni pande mbili tu, ukikosa mmoja upo mwingine hata kama ni kwa mbaaali!

Lakini wewe si wawaona wa Simba wabishi? Subiri uone Yanga wakibamizwa siku moja...!

Anyway, raha ya utani wa jadi ni UBISHI hata kama ukweli uko wazi :)
 
Anayetupa pole Simba tunamshukuru! Kilichobaki ni kujipanga upya...mechi ya jana imeshakuwa historia. Wanachama kuweni watulivu, Viongozi na friends of Simba kuweni kitu kimoja. Timu imecheza vizuri mno.... sikutegemea kandanda zuri kiasi kile... kufungwa huku na vitimu kama Totoz kuna sababu tu. kaeni kitako tatuaeni matatizo yanayotufanya tufungwe kiasi hiki.

Simba sasa inahitaji Umoja na mshikamano kuliko wakati wowote ule.

Hongera Yanga!
 
LoL,

Hizi ni pande mbili tu, ukikosa mmoja upo mwingine hata kama ni kwa mbaaali!

Lakini wewe si wawaona wa Simba wabishi? Subiri uone Yanga wakibamizwa siku moja...!

Anyway, raha ya utani wa jadi ni UBISHI hata kama ukweli uko wazi :)

Kwi kwi kwi....

sisi huwa tunabisha kwa muda then tunakubali tunajipanga kumchinja mnyama.

Kwa washabiki wa kichaga jana nadhani walikunywa kisusio cha damu ya mnyama... lol
 
Simba siku zote ni chama linalojua soka nadhani hiki kilichotokea ni katika kuongeza utamu wa mambo ya utani kama alivyosema invisible otherwise Yanga kama wangeedelea kupigwa mabao nina uhakika hata mvuto katika mipambano ya Yanga na Simba ungepungua sana.

So wana Yanga kwa ushindi huo nadhani mnatakiwa kujipanga vizuri kwani katika mchezo wa marudiano nina imani uteja wenu utarudi kama zamani. Kwa kawaida mnyama anapojiuliza huwa anatisha zaidi na nyie wenzetu ushindi wa jana ni kama mmechukua ubingwa sasa hasira za mnyama zitawamaliza. Kaeni chonjo...
 
Poleni Simba. Mwaka huu mlikuwa mfungwe mpende msipende maana Yanga soka lao liko juu bajameni. Wanacheza kama vile timu zile ninazoziona kwenye Tv yangu za kule majuu!
Kweli msingepona. Nilikuwa nimewahesabia bao 3 hivi na bahati yenu yamepungua mawili. Na haya nadhani kwa ile janja ya kuanzisha fujo ili Mwalala atoke nje:D:D:D
 
Simba siku zote ni chama linalojua soka nadhani hiki kilichotokea ni katika kuongeza utamu wa mambo ya utani kama alivyosema invisible otherwise Yanga kama wangeedelea kupigwa mabao nina uhakika hata mvuto katika mipambano ya Yanga na Simba ungepungua sana.

So wana Yanga kwa ushindi huo nadhani mnatakiwa kujipanga vizuri kwani katika mchezo wa marudiano nina imani uteja wenu utarudi kama zamani. Kwa kawaida mnyama anapojiuliza huwa anatisha zaidi na nyie wenzetu ushindi wa jana ni kama mmechukua ubingwa sasa hasira za mnyama zitawamaliza. Kaeni chonjo...

acha bange wewe! simba siku zote inajua mpira upi?
mmebatuliwa 4 na toto, mmekuja na yanga mmekalishwa kwenye kibao cha mbuzi halafu unataka kusema nini?
sasa kwa taarifa yako huyo invisible hajui hata kupiga danadana, sasa atazungumza nini katika soka nikamuelewa?
 
kikisaidiwa na nguvu za giza..hata mwandike ninawasisi mlimpa hongo maana tulikuwa tumejiandaa kuvunja ndoa yenu na Manji...anyway next time....acha tukubali matokeo ingawa inauma..............

ukiambiwa utoe ushahidi wa hizo nguvu za giza na kuhongwa mwandike utaweza kutoa au unaropoka tu kama makamba?
nyie kubalini tu mmekalia kifuu basi
 
..simba wamecheza mchezo mzuri..ni bahati mbaya tu...infact refa wa leo was so harsh kwa simba...kwa kweli wachezaji wa simba wana vipaji ..hata yanga kimchezo wamezidiwa na tukiacha ushabiki ...ilikuwa ni bahati yao kuondoka na ushindi leo...kwani simba wamekosa magoli manne clear..yaani mchezaji anabaki na goli....unaweza ukaamini vibaya!!

pm unaponichefuaga ni kwenye swala la uwongo tu.
Usifikiri uwanjani ulikuwepo peke yako, hizo nafasi 4 uliziona peke yako tu?
Na kama mlicheza vizuri basi ni wazi mngeshinda, we kubali tu mmekeketwa na yanga so mnatakiwa kujipanga upya. Sio unakurupuka kurupuka tu kama makamba.
 
1.Circovik
2.Nsajigwa
3.Nurdin
4.Canavaro
5.Owino
6.Bon
7.Ngasa
8.Idd
9.Ambani
10.Mwalala
11.Shamte
Hao ndo wanaume walio wananihii Simba
 
1.Circovik
2.Nsajigwa
3.Nurdin
4.Canavaro
5.Owino
6.Bon
7.Ngasa
8.Idd
9.Ambani
10.Mwalala
11.Shamte
Hao ndo wanaume walio wananihii Simba

Sisi wanachama wa yanga na mashabiki wetu tunajipanga kuendeleza vipigo pale Msimbazi hadi karne ijayo, dawa yenu tumeisha ijua..usajili mzuri pamoja na makocha wa kueleweka. Pia kuzuia msirubuni wachezaji wetu ndo sababu ya Kaseja kutochezeshwa... Poleni sana...Yanga Oyeee Madega juuuu....
 
Hongereni watani Yanga kwa ushindi... baada ya miaka mitano ya uteja si vibaya na nyie mkapata angalau ushindi mmoja.
 
Mziray Reign Over After Simba's DefeatThe Citizen

(Dar es Salaam)
27 October 2008 Posted to the web 28 October 2008
Majuto Omary

Syllersaid Mziray's temporary deal with Simba has ended following the team's 1-0 loss to their archrivals Yanga on Sunday.
The Self-styled super coach had been hired to inspire the Msimbazi street team but his ideas failed to help the team protect their eight-year clean record.
"I am a teacher at the Open University' I have finished my job as the technical bench consultant' so I am done with Simba, even the team coach knew this'" said Mziray.
He said he had not been offered any written contract for the temporary engagement but accepted the job just out of mutual understanding.
Meanwhile, the team's Nigerian strikers Orji Obina and Eze Ezechuku, have been rejected by head coach Krasimir Bezinski.
The players did not feature in the Sunday's match and the coach declared that he no longer wanted them.
A Simba official, Kassim Dewji, who recruited the pair, said that the leadership was not aware of the coach's decision and that they were waiting for his official communication before deciding.
 
Jamani ni kweli kuwa mechi ya watani wa jadi iliyokuwa ichezwe J'pili imeahirishwa mpaka tar. 18/04/2010?
 
Leo lazima tuwatoe kamasi. kwanza Jangwani kuna Mafuriko hamtakuwa na mahari pa kukimbilia leo.
 
leo menu imekamilika ugali wa yanga kwa mishkaki ya mnyama, ikichanganywa na chachandu wallahi mnyama lazima aokwe km ndafu leo kesho sherehe jangwani 3-0
 
Wasiwasi wangu ni kuwa uchanguzi Simba hakuna kwa sababu ya kichapo cha leo. Yanga 3 Simba 1 hakuna ubishi.
 
Yanga mmeongea sana, nendeni katika dakika 90! Mkiongea sana mtafungwa ohooo! Simba wako kikazi zaidi maneno hawana ndo maana hawafungwi ovyo wale!
 
Back
Top Bottom