Yanga vs Simba April 18 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Yanga vs Simba April 18 2010

Discussion in 'Sports' started by Masatu, Oct 26, 2008.

 1. M

  Masatu JF-Expert Member

  #1
  Oct 26, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Naelekea uwanja mkuu mpya wa Taifa kuangalia mtanange kati ya Simba na Yanga. Kwa kupitia kilonga mbali changu nitakuwa nawaletea live updates ikiwa kila kitu kitaenda sawa ( ie masuala ya credit )

  Leo ndio leo kandambili hawatoki iwe isiwe lazima tuwafunge, Mnyama kanyaga twende! eeeh kidedea!

  Stay tuned
   
 2. Shadow

  Shadow JF-Expert Member

  #2
  Oct 26, 2008
  Joined: May 19, 2008
  Messages: 2,908
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Yegho Masatu,

  Akikisha unaturushia updates, mzee. Huku si unajua tuko dunia nyingine. Ila usiingie mtini kama Mnyama akisasambuliwa teh teh teh

  Shadow!
   
 3. M

  Masatu JF-Expert Member

  #3
  Oct 26, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Dont worry mate nipo ndani ya uwanja mtu nyomi atmosphere is fantastic!
   
 4. Yombayomba

  Yombayomba JF-Expert Member

  #4
  Oct 26, 2008
  Joined: Aug 23, 2006
  Messages: 818
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Masatu,
  Usifunge simu Mnyama akikabwa koo, maana leo hatoki milango inafungwa kama yaliyofanyika Kirumba.
   
 5. M

  Masatu JF-Expert Member

  #5
  Oct 26, 2008
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Yomba2 Kanda2 leo ni kichapo tu.. wish u could be here....
   
 6. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #6
  Oct 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  yanga moja simba haijapata kitu goli limefungwa na ben mwalala dakika ya 15
   
 7. Tayari Yanga wapo mbele kwa bao moja
   
 8. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #8
  Oct 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Limefungwa na ben mwalala dakika ya 15 baada ya kazi nzuri ya ambani
   
 9. Freetown

  Freetown JF-Expert Member

  #9
  Oct 26, 2008
  Joined: Apr 6, 2008
  Messages: 887
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 35
  Tuletee mshirika bahati mbaya credit za huku hazitakufaa tungekutumia
   
 10. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #10
  Oct 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Dakika ya 25 sasa hivi kipindi cha kwanza , simba ndio wanaonyesha kandanda safi wameshakosa magori 2 mpaka sasa hivi ya wazi ,
   
 11. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #11
  Oct 26, 2008
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Ndg yetu Masatu amegeuka bubu ghafla?
   
 12. Mussa Hassan mgosi amepoteza nafasi ya pili sasa baada ya kupiga mpira na kupaa juu
   
 13. S

  Son of Alaska JF-Expert Member

  #13
  Oct 26, 2008
  Joined: Jun 2, 2008
  Messages: 2,813
  Likes Received: 102
  Trophy Points: 0
  megapyne,mussa hassan sasa ni mchezaji wa timu gani? kumbuka you have a worldwide audience ambayo haiwajui hao wachezaji
   
 14. Simba wanapata nafasi nyingi sana za kufunga magoli, ila inakosa wafungaji. Imepoteza nafasi ya nne sasa.
   
 15. Yona F. Maro

  Yona F. Maro R I P

  #15
  Oct 26, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 4,237
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0
  Simba wanaonyesha wanacheza vizuri sana walinzi wao ni wazuri , viungo wazuri sana sema hawana umakini wa umaliziaji --DAKIKA YA 36 MPAKA SASA HIVI YANGA HAIJAWAHI KUPATA USHINDI DHIDI YA SIMBA TOKA MWAKA 2000
   
 16. Dakika ya 40 Yanga 1 - 0 Simba
   
 17. Kafara

  Kafara JF-Expert Member

  #17
  Oct 26, 2008
  Joined: Feb 17, 2007
  Messages: 1,392
  Likes Received: 68
  Trophy Points: 145

  lazima awe bubu kwani mnyama kisha nyofolewa mara moja.
  anangoja mnyama arudishe ndio aingie hewani.
   
 18. Yanga hawajawai kuifunga Simba tangu mwaka 2000.
   
 19. Sorry Pal, Alikuwa mchezaji wa Simba msuimu uliopita, ni mchezaji wa Yanga sasa.
   
 20. Kipindi cha kwanza kimeongezewa dakika 2 za ziada.
   
Loading...