Yanga vs Simba April 18 2010

sasa na mziray atakumbwa na kichapo tuu.
sijui atatimuliwa nani safari hii au ndo kaseja
kapeleka mbinu ya kumuua mnyama jangwani lol
 
..simba wamecheza mchezo mzuri..ni bahati mbaya tu...infact refa wa leo was so harsh kwa simba...kwa kweli wachezaji wa simba wana vipaji ..hata yanga kimchezo wamezidiwa na tukiacha ushabiki ...ilikuwa ni bahati yao kuondoka na ushindi leo...kwani simba wamekosa magoli manne clear..yaani mchezaji anabaki na goli....unaweza ukaamini vibaya!!
 
Mkuu umesema sawia nilikuwa ndani ya uwanja kwa kweli Mwandike alaaniwe mpaka dunia hii itakapo kwisha amewabeba sana Yanga.

Simba wamecheza mpira wa kitabuni ( text book football ) it took combination of bad refereeing and badluck to lose the game.

Anyway sisi Simba wastaarabu tunayachulia matokeo ni challenge kwetu na tunaenda kujipanga upya subirini marudiano yule Ponjoro wenu atawakimbia tu
 
Simba acheni visingizio!hatimae YANGA yamaliza uteja kwa simba!Hongereni sana wana Jangwani!
 
Mkuu umesema sawia nilikuwa ndani ya uwanja kwa kweli Mwandike alaaniwe mpaka dunia hii itakapo kwisha amewabeba sana Yanga.

Simba wamecheza mpira wa kitabuni ( text book football ) it took combination of bad refereeing and badluck to lose the game.

Anyway sisi Simba wastaarabu tunayachulia matokeo ni challenge kwetu na tunaenda kujipanga upya subirini marudiano yule Ponjoro wenu atawakimbia tu
watu wengine hivi nyie mnafikiria mpira unachezwa kwa maneno,uchawi na migogoro.........kajipangeni upya
 
Hakika Yanga inatisha. Nani kasema, Yanga ni kuendeleza kipigo tu. Yanga haiangalii mtu usoni.

Hongera Mweneyekiti Madega na viongozi wengine wa club hii ya mtaa wa Twiga na Jangwani kwa kuwaonyesha simba kuwa Yanga ndio Club kongwa Afrika mashariki na kati.

Mosho waliouwasha Yanga nani wa kuuzima.

Simba wajue kuwa Yanga hakuwagopa waliokuwa hawajatia timu mwezi July, bali ni hujuma za Simba na akina Musonye. Hakuna timu bora hapa Tanzania kama Yanga. Yanga chezeni mpira Simba endeleeni na kelele.

Yanga mwendo mdundo......endeleza vipigo, na kombe ni lenu hakuna ubishi kwa hilo.

Mdau wa SOKA.
 
..simba wamecheza mchezo mzuri..ni bahati mbaya tu...infact refa wa leo was so harsh kwa simba...kwa kweli wachezaji wa simba wana vipaji ..hata yanga kimchezo wamezidiwa na tukiacha ushabiki ...ilikuwa ni bahati yao kuondoka na ushindi leo...kwani simba wamekosa magoli manne clear..yaani mchezaji anabaki na goli....unaweza ukaamini vibaya!!

Anyway, inawezekana wakati unaangalia mpira ulikuwa na lengo la Simba kushinda. Mara nyingi ukiingiya, uwanjani, na tabia ya kupanga matokeo kichwan mwako, huwezi kukubali matokeo tofauti na yale uliyoyatarajiya. All in all, tuwape hongera Yanga na tuwape pole Simba.
 
Nafikili wewe ndugu yangu uanyesema Mwandike kawabeba Yanga hujui mpira na pengine hata ushabiki huujui.

Mwandike ni kocha anayeheshimika sana katika medani ya soka , wewe ni nani hata useme hivyo?hata kurusha mpira tu hujui. Achana na ushabiki usio kuwa na hoja.

Yanga ndio timu bora, lakini simba ni timu iliyojaa migogoro....angalia usajili wa Yanga mwaka huu....hata hapa Ulaya timu kama za uingereza zinatumia mamilion kuwekeza kwenye soka....

Pole sana, kipigo simba imekipokea. Mwandike anakuwa tu hafai tu kwa kuwa simba wamefungwa, ila wakifunga wao basi ni mbaya...achaneni na zana zinazo rudisha maendeleo ya soka nyuma....tukiwa na watu kama wewe tutaendele kubaki nyuma kisoka.

Hongereni Yanga kwa ushindi. Poleni Simba kwa kipigo, ila muwe wa staarabu kukubali kushindwa.
 
Visingizio tuache. Yanga ni timu bora kwa sasa na timu kongwe Afrika mashariki na kati.

Hongereni Yanga.

Yanga inatisha. Mwenye wivu ajinyonge.

Ushabiki ni kukubali matokeo.
 
Nafikili wewe ndugu yangu uanyesema Mwandike kawabeba Yanga hujui mpira na pengine hata ushabiki huujui.

Mwandike ni kocha anayeheshimika sana katika medani ya soka , wewe ni nani hata useme hivyo?hata kurusha mpira tu hujui. Achana na ushabiki usio kuwa na hoja.

Yanga ndio timu bora, lakini simba ni timu iliyojaa migogoro....angalia usajili wa Yanga mwaka huu....hata hapa Ulaya timu kama za uingereza zinatumia mamilion kuwekeza kwenye soka....

Pole sana, kipigo simba imekipokea. Mwandike anakuwa tu hafai tu kwa kuwa simba wamefungwa, ila wakifunga wao basi ni mbaya...achaneni na zana zinazo rudisha maendeleo ya soka nyuma....tukiwa na watu kama wewe tutaendele kubaki nyuma kisoka.

Hongereni Yanga kwa ushindi. Poleni Simba kwa kipigo, ila muwe wa staarabu kukubali kushindwa.

Si unaona sasa unavyo advertise ur ignorance! Mwandike kawa kocha toka lini? watu wengine bwana kukurupuka tu...
 
..simba wamecheza mchezo mzuri..ni bahati mbaya tu...infact refa wa leo was so harsh kwa simba...kwa kweli wachezaji wa simba wana vipaji ..hata yanga kimchezo wamezidiwa na tukiacha ushabiki ...ilikuwa ni bahati yao kuondoka na ushindi leo...kwani simba wamekosa magoli manne clear..yaani mchezaji anabaki na goli....unaweza ukaamini vibaya!!

kaka wanikumbusha usemi "chenga twawala..."
mpira magoli kaka.
mnyama akubali yaishe tu na akajipange upya
sio kila siku acheke yeye anagalau jk nae atacheka leo lol
 
Last edited:
Mkuu umesema sawia nilikuwa ndani ya uwanja kwa kweli Mwandike alaaniwe mpaka dunia hii itakapo kwisha amewabeba sana Yanga.

Simba wamecheza mpira wa kitabuni ( text book football ) it took combination of bad refereeing and badluck to lose the game.

Anyway sisi Simba wastaarabu tunayachulia matokeo ni challenge kwetu na tunaenda kujipanga upya subirini marudiano yule Ponjoro wenu atawakimbia tu

text book football ndio inasema mtu asifunge?
naona vijana hawakuelewa somo inabidi warudi darasani
ili mnyama afanye yale ambayo washabiki wake wanayatarajia.
 
Mimi leo nimenyeshewa tu, Chelsea rekodi yake imevunjwa tena kwa goli moja tu, Simba yaleyale. Am so down...!

Furahieni Yanga, ni mwaka wenu... Siku nyingi ati! Lakini tumewanusuru na mgogoro wa klabu :)
 
Mimi ni mshabiki wa Yanga lakini

Kwa ujumla washabiki wa simba ni wabishi hawakubali hata siku moja kwamba kufungwa ni sehemu ya mchezo wao hudhani kufungwa ni hujuma. Katika washabiki Tanzania, washabiki wa Simba ndio wanaongoza kwa ubishi hadi kuanzisha vurugu. Wasahbiki wa simba hamkubali hata siku moja kusema mmezidiwa mchezo.

Washabiki wa simba mkishinda hata mechi mliocheza na timu ya daraja la tatu mtajisifia kama vile mmeifunga Chelse, mkipata ushindi kidogo mtashabikia miezi miwili.

Ushauri wangu kwa wanasimba, mnaposhinda ni sehemu ya mchezo, mnaposhindwa ni sehemu ya mchezo pia. Na waote tujifunze kukubali matokeo ya namna yeyote then tunatoss glass tunasema tusubiri match inayofuata.
 
sio kila siku acheke yeye anagalau jk nae atacheka leo lol

..na jk nimemuona katia timu dar leo mida ya alasiri..hakuja uwanjani..inawezekana ziara ya tabora imeisha au ameamua ku brak kidogo aendelee kesho...offcourse kila mwana yanga lau amefurahi kama kipofu anapoona mwezi..miaka 8 ya uteja si mchezo!
 
Ili utani uzidi kuwepo ilibidi Wekundu wa Msimbazi wasiifunge Yanga.....sivyo utani ungeisha:(.
But karoho kanauma
 
Mkuu umesema sawia nilikuwa ndani ya uwanja kwa kweli Mwandike alaaniwe mpaka dunia hii itakapo kwisha amewabeba sana Yanga.

Simba wamecheza mpira wa kitabuni ( text book football ) it took combination of bad refereeing and badluck to lose the game.

Anyway sisi Simba wastaarabu tunayachulia matokeo ni challenge kwetu na tunaenda kujipanga upya subirini marudiano yule Ponjoro wenu atawakimbia tu

Mpira siku zote Magori hata upige chenga vipi lakini kama hujafunga unaonekana bure kabisa.
Licha ya kuloga wazi wazi lakini mmepokea kipigo kitakatifu kimoja tu mkashindwa kuchomoa.
 
Si unaona sasa unavyo advertise ur ignorance! Mwandike kawa kocha toka lini? watu wengine bwana kukurupuka tu...

Acha jazba mwanawasu, kwani hujui jamaa ana furaha ya ushindi hadi anasahau kuwa mwandike ni refa na si kocha!!??miaka minane si jambo dogo.
we unadhani kama nyie ndio mngekuwa wateja kwa miaka yote hiyo si mngeshalivunja jengo lenu kwa jinsi msivyo wavumilivu?
kubalini huu ni mwaka wa shetani msimbazi, kama mnafungwa na toto africa 4-1, unashangaa nini kufungwa na yanga 1-0?
 
Invis... na wengine, poleni jamani ndio soka hilo... Kikubwa ni kwamba Yanga tumeongeza idadi ya mechi za kupiga mnyama mabao na kusitisha "the so-called, uteja".... ha ha haaa!! Yaani toka jana nimuone Mwalala mambo mswano saaaana manake kelele kidog zimepungua......

Eti walisema hatutapeleka timu uwanjani, mmekremu eee???
 
Back
Top Bottom