Zamaulid
JF-Expert Member
- May 25, 2009
- 19,955
- 16,006
mkuu usikate tamaa muda bado!!ooopsss nimekosa 0713.. dah..
mkuu usikate tamaa muda bado!!ooopsss nimekosa 0713.. dah..
za saa hizi mkuu..
kesho mnyama tunampiga kazaa tu..
Yanga 3
sielewi kesho nisimamie upande gani.... ngoja nitafute sababu za msingi za kunifanya nimuuunge mkono mmoja wenu.!!
nipo mkuu nipo sana mda mwingine nashangilia kimoyomoyo;. Yangaaaa ahahaaahadi na wewe umeonekana kweli manunuzi raha sana bado kaka bala sijamuona..
mkuu upepo ukibadilika usitukimbie,maana tupo wengi wa kutosha!Yanga akifungwa nibandueni bhana sure!
Gooool nini? Ni gool la 2 ni msuva
Sahau!mkuu upepo ukibadilika usitukimbie,maana tupo wengi wa kutosha!
mkuu ina maana matokeo yoyote ni poa kwa upande wetu.Kesho ni raha tupu. Wakitoka sare watakuwa wamemalizana wao kwa wao, Azam akishinda Simba aibu tupu, Simba akishinda anasaidia kupeleka kombe jangwani, sasa hapa: Mkuna na mkunwaji, nani huona raha?
Yanga akifungwa nibandueni bhana sure!
mkuu upepo ukibadilika usitukimbie,maana tupo wengi wa kutosha!