Yanga vs JKT Oljoro!!!

Yanga vs JKT Oljoro!!!

mpira umeanza,Yanga wamevaa jezi ya kijani huku mabegani kuna michirizi ya njano na Oljoro wamevaa blue bahari mabegani kuna rangi nyeupe
 
Yanga akifungwa leo 'nibandueni'
Mkuu ndo mchezo wako nn? Lakini sishangai sana jangwani ndo michezo yao walikuwa na kocha mvaa kikuku wachezaji kulala mzungu wa nne nk

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums
 
Mkuu ndo mchezo wako nn? Lakini sishangai sana jangwani ndo michezo yao walikuwa na kocha mvaa kikuku wachezaji kulala mzungu wa nne nk

Sent from my BlackBerry 9300 using JamiiForums

mi ndo ntakuwa wakwanza usihofu mkuu hiyo shughuli niachieni..
 
Yanga akifungwa leo 'nibandueni'

Nimefurahi sana kukutana na post yako. Hakika lazima nikawaambie wachezea Libolo kuwa: viwete wanatembea, vipofu wanaona, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa habari njema. Karibu sana Mkuu.
 
Back
Top Bottom