Wakuu dak ya ngapi, naona weekend inaenda vizuri.!!
weekend inakwenda vizuri mkuu kuna mtu kaahidi utamu baada ya mechi!!
kesho mtapakatana, au utapakatwa.?
mkuu vijana wameamua kumtunzia heshima yake!mkuu nimeshituka sana, mtu mzima kutolewa bikira ukubwani noma...hata hivyo naona vijana wa jangwani wamemgomea.!!
Tunashindilia libolo la 3 hapa ohh sorry gool la 3 ni
Kiiza
Gooo! Yanga 3-0 Oljoro, Kiiza dak. 43.
ooopsss nimekosa 0713.. dah..
Oljoro funga hao Jangwani Mbili bila..
Yangaaaa hahahaaaa c ndo habar ya mujini
tunakuja kula ya kwako