Balantanda
JF-Expert Member
- Jul 13, 2008
- 12,484
- 4,821
Pamoja sana wana Yanga...
Yanga; Daima mbeeele....Nyuma mwiko
Yanga; Daima mbeeele....Nyuma mwiko
mkuu ina maana matokeo yoyote ni poa kwa upande wetu.
hata hivyo ningependa Azam afungwe, ila sipendi Simba ashinde.!
Dak. 85 Yanga 3-0 JKT Oljoro.
kwa upande upi mkuu!!!Kosa kosa nyingi mno
umeona!!kalikuwa kamoja kamoja tu!Leo yanga wamejitahidi kupata goli zaidi ya moja.
Pamoja sana wana Yanga...
Yanga; Daima mbeeele....Nyuma mwiko
Weekend hii itabid nimkate kichwa jogoo kwa furaha ya leo.CHEZEA YANGA
leo wametoa mshiko wa maana kama ambao azam huwa wanatoa. Sijui kwa nini Rage anakuwa na mgumu wa kutoa hela..!makoyee full kutoa macho sasa hv mmetoa hela ya maana..
Leo yanga wamejitahidi kupata goli zaidi ya moja.
Mkwara nini? Nasikia mwenyekiti aliwaambia hafurahishwi na ushindi wa goli moja kila wakati.umeona!!kalikuwa kamoja kamoja tu!
Hivi SI yupo? Long taim sijamtia machoni humu ndani.Wakuu naomba mnifikishie salaam kwa St Ivunga, mwambie safari hii aje kavaa UPAPI tayari kwa kupakatwa ha ha ha ha
kwaani hela ni majan kua utaokota maporini, maharage hana mia ko alie tuuuuleo wametoa mshiko wa maana kama ambao azam huwa wanatoa. Sijui kwa nini Rage anakuwa na mgumu wa kutoa hela..!