hawa yanga hawajui kama sisi tuna ahadi ya kubandua!
Hahahaah! Yule jamaa ngoja tumpige tu chini.kwaani hela ni majan kua utaokota maporini, maharage hana mia ko alie tuuuu
Full time: Yanga 3-0 JKT Oljoro.
Hongera Yanga kwa matokeo safi. Azam na Simba kazi ni kwao. Mwaka jana walipanga Simba awe bingwa, Azam wa pili, mwaka huu itakuwaje?
naona mkuu!!!Mkwara nini? Nasikia mwenyekiti aliwaambia hafurahishwi na ushindi wa goli moja kila wakati.
kwani okwii mlimuuza shi ngapHahahaah! Yule jamaa ngoja tumpige tu chini.
Hivi SI yupo? Long taim sijamtia machoni humu ndani.
Hivi SI yupo? Long taim sijamtia machoni humu ndani.
habari yako mkuu habari za mrogoro bana..
Salama mkuu...Mrogoro kwema...
Naona Rage anawadai fidia kwa kuwadhalilisha...Teh teh
Hahahaah! Yule jamaa ngoja tumpige tu chini.
Sherehe za UBINGWA zitafanyika mkoa gani?
kwa ajili ya mashabiki na wapenzi wa YANGA SC mliomo katika jukwaa hili.
Naomba Yanga ifungwe na JKT Oljoro, hata goal moja latosha.
Hongereni sana wana wa jangwani..
Nasisitiza tena,Yanga AKIFUNGWA leo nibandueni!