CHAI CHUNGU
JF-Expert Member
- Feb 20, 2012
- 7,113
- 943
- Thread starter
- #101
Mkuu ilikuwaje ukatwangwa 'ban?' Hebu elezea kidogo tupate kujifunza.
Nilisema dr Slaa hafai kua rais.
Mkuu ilikuwaje ukatwangwa 'ban?' Hebu elezea kidogo tupate kujifunza.
mkuu ina maana matokeo yoyote ni poa kwa upande wetu.
hata hivyo ningependa Azam afungwe, ila sipendi Simba ashinde.!
Nilisema dr Slaa hafai kua rais.
mwambie hiyo ni timu ya wananchi wa tanganyika,.mabingwa mala mbili wa mfululizo wa afrika mashariki na katiKuna mzungu mmoja nimekaa nae hapa jukwaani aniuliza hii yanga ina asili ya latin america kwa jinsi wanavyosakata kabumbu
Nilisema dr Slaa hafai kua rais.
ngoja washinde goli za kutosha!!!maana hawakuwahi kushinda goli zaidi za moja!anajua vijana hawawezi kimuangusha, maana wameahidiwa mipesa kedekede.!!
Kuna mzungu mmoja nimekaa nae hapa jukwaani aniuliza hii yanga ina asili ya latin america kwa jinsi wanavyosakata kabumbu
Poa mkuu!Pole sana Mkuu. Somo limeeleweka, mwenye macho haambiwi tazama wala mwenye masikio haambiwi sikia. Asiyejua kufa, atazame kaburi.
Oljoro wanafanya sub ya kipa
Jaman 2juzeni matokea plz
Jaman 2juzeni matokea plz
Nilisema dr Slaa hafai kua rais.
Peleka upumbavu wako jukwaa la sihasa
Jukwaa la sihasa?ndio jukwaa gani hilo mbona silijui?