nakwambia huyu jamaa ana bahati ile mbaya!daah naona 2nakosa kubandua m2 goli la 2 msuva
Gooool nini? Ni gool la 2 ni msuva
daah naona 2nakosa kubandua m2 goli la 2 msuva
Chezeya kubanduliwa weye!!nakwambia huyu jamaa ana bahati ile mbaya!
Naomba Yanga ifungwe na JKT Oljoro, hata goal moja latosha.
du kiduchu tu!!!Teh teh teh teh teh!!
Leo lazima Yanga akalie ududu
ha ha ha ha ha!Chezeya kubanduliwa weye!!
weekend inakwenda vizuri mkuu kuna mtu kaahidi utamu baada ya mechi!!Wakuu dak ya ngapi, naona weekend inaenda vizuri.!!
Wakuu dak ya ngapi, naona weekend inaenda vizuri.!!
Leo lazima Yanga akalie ududu