WABHEJASANA
JF-Expert Member
- Jun 22, 2011
- 4,225
- 869
Hawa watngazaji wa StarTv kichefuchefu sana
Kwa nini mkuu???!!!!
Hawa watngazaji wa StarTv kichefuchefu sana
jmoo mnakaa mkuu Masuke
Hakika hii ni wiki nzuri kwa mashabiki wa yanga.tukutane pale simba kapakatwa tukajipongeze kidogo
Kwani hujui kwamba simba wako nyumba yake??!!!!
Kwa nini mkuu???!!!!
Wewe huwasikilizi:-
1. Hawajui kutangaza kabisa,kama huyu anayeitwa Lange(James Lange sijui nani Lange) ndo hajui kabisaa
2.Wanagombea kutangaza
3.Wanachapia kishenzy mfano Jamaa akimsifia suva anasema ni Kijana shupavu,katika umri wake kuaminiwa na team kubwa kama ya Simba si mchezo
Tumeshinda ngapi wana jangwani?
Yanga punguzeni kelele! arguably hako ni katimu dhaifu kuliko zote ktk ligi hii

Mkuu Azam hamna ubavu wa kutufunga jmosi, tumewatandika mechi tatu mfululizo, Supercup: Simba 2-1 Azam; Ngao ya Hisani: Simba 3-2 Azam; na mechi ya Kirafiki: Simba 2-1 Azam, kwa hiyo jmosi ni mwendelezo tu lazima tuwatandike, tena tutawawekea vijana kama Hassan Kondo, Haroun Chanongo, Edward Christopher, Jonas Mkude, Abdallah Seseme na Ramadhan Singano.