Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

namanyele

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2012
Posts
1,852
Reaction score
611
Leo lazima kieleweke uwanja wa taifa Yanga lazima aue mtu na kumsogelea mnyama aliyetangulia kwa baiskeli yenye mataili ya miti,mechi ya Azam na Simba jumasosi tunajua watadraw na wakikosea kidogo tukae kileleni hiyo ndo mpaka ubingwa mtakuwa mnang'ang'ania nafasi ya pili na ya tatu,tutakuwa live uwanjani Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Azam wanaishia kuleta upinzani tu ili ligi ichangamke hawana lolote kuhusu vikombe wanajua ubavu hawana
 
Lazima leo itakuwa hivi YANGA 4 - POLISI MORO 1
 
Kwan sheikh yahya alikukabidh mikoba ya utabiri?????????
 
nina pweza wangu home maeneo ya tabata-mawenzi,bado sijaanza kumtangaza ila leo usubiri mpira uishe halafu utaniambia
 
Leo lazima kieleweke uwanja wa taifa Yanga lazima aue mtu na kumsogelea mnyama aliyetangulia kwa baiskeli yenye mataili ya miti,mechi ya Azam na Simba jumasosi tunajua watadraw na wakikosea kidogo tukae kileleni hiyo ndo mpaka ubingwa mtakuwa mnang'ang'ania nafasi ya pili na ya tatu,tutakuwa live uwanjani Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

OLE WAKO USITUPE UPDATES. mia
 
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:Kushoto atakuwepo Nurdin Bakari,Kulia Frank Domayo,tisa na kumi Tegete na Kavumbagu,nane Haruna Niyonzima,sita Chuji,Tano Canavaro,nne Mbuyu Twite kiboko ya "Mnyama",tatu Mwasika,mbili Juma Abdul na Golini kama kawa Yaw Berko:halafu wakati huo nje watakuwa wanasubiri,Nizar,Shamte Ally,Oscar,Omega Seme na Ladislaus Mbogo:Kumbuka Hamis Kiiza na Said Bahanuz wanagonjwa!!!!!!

sasa unadhani kwa kikosi hiki kwa nini hao wakamatji watu ovyo wasilale 5-1?
 
mwanangu hiyo list hata pweza wangu alinitabiria asubuhi leo,we jamaa mkaliiiiii,we kaka mmmmmbayaaa wewe! we mshikaji noma,sasa nakamua mamisosi na pweza wangu yupo karibu hapa nitamwacha mda si mrefu niende taifa kuangalia live mwanzo mwisho,tutawarushia live updates. mia
 
Leo lazima kieleweke uwanja wa taifa Yanga lazima aue mtu na kumsogelea mnyama aliyetangulia kwa baiskeli yenye mataili ya miti,mechi ya Azam na Simba jumasosi tunajua watadraw na wakikosea kidogo tukae kileleni hiyo ndo mpaka ubingwa mtakuwa mnang'ang'ania nafasi ya pili na ya tatu,tutakuwa live uwanjani Yanga oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee

Kocha mkuu wa timu ya Young Africans Sports Club, Mholanzi Ernie Brandts amesema kikosi chake kipo tayari kuikabili timu ya Polisi Morogoro katika mchezo wa ligi kuu ya Vodacom utakaofanyika kesho uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam.

Akiongea na mtandao wa klabu The Official Website of Young Africans Sports Club leo asubuhi katika mazoezi yaliyofanyika shule ya sekondari Loyola, amesema wachezaji wake wote wapo safi, wana ari ya mchezo na ushindi, hivyo anaamini mchezaji yoyote atakayempanga atafanya vizuri.

Polisi Morogoro timu iliyoipanda ligi msimu huu 2012/2013 inakamata mkia katika msimamo wa ligi kuu ya Vodacom ikiwa na pointi 2 ilizozipata kwa kutoka sare michezo miwili kati ya michezo saba iliyokwishacheza.

Yanga ambayo mchezo wake wa mwisho iliibuka na ushindi wa mabao 3-2 dhidi ya timu ya Ruvu Shooting katika mchezo uliochezwa mwishoni mwa wiki, itaingia uwanjani kusaka pointi 3 muhimu zitakazo isogeza mpaka nafasi tatu za juu na kupunguza tofauti ya point na mtani wake wa jadi Simba anayeongoza ligi kwa pointi 19.

Katika mazoezi yaliyofanyika leo asubuhi, kocha Brandts ameendelea kufurahia kuwepo kwa wachezaji wake wote, kitu kitakachopelea kumtumia mchezaji yoyote atakayetaka kumtumia kwa mchezo huo wa kesho, kwani hakuna mchezaji aliye majeruhi .

Vijana wa jangwani kwa sasa wanakamata nafasi ya tatu katika msimao wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara kwa kufikisha point 14 nyuma ya Azam yenye pointi 17 na Simba yenye pointi 19 ikiwa mbele kwa mchezo mmoja.

Mchezo utaanza majira ya saa 10:30 jioni kwa saa za Afrika Mashariki na viingilio vya mchezo huo ni:

VIP A 20,000/=
VIP B &C 15,000/=
Orange 8,000/=
Blue & Green 5,000/=

'MUNGU IBARIKI TANZANIA, MUNGU IBARIKI YOUNG AFRICANS'

'DAIMA MBELE NYUMA MWIKO'
Kwa hisani ya: The Official Website of Young Africans Sports Club
 
Yan Azam leo ndio wanashika usukani. Mtanuna Kurwa na Doto. forza Azam.
 
niko Uwanjani LIVE; na sasa hv nashuhudia mechi ya watoto Yanga B na Polisi - Yanga B wanaongoza kwa goli 5-1
 
nina pweza wangu home maeneo ya tabata-mawenzi,bado sijaanza kumtangaza ila leo usubiri mpira uishe halafu utaniambia

Wewe kumbe ni jirani yangu,baada ya game tukutane pale Mawenzi Garden kwaajili ya kujipongeza kwa bierre 2,3 kwa ushindi mnono!
 
Oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee:Kushoto atakuwepo Nurdin Bakari,Kulia Frank Domayo,tisa na kumi Tegete na Kavumbagu,nane Haruna Niyonzima,sita Chuji,Tano Canavaro,nne Mbuyu Twite kiboko ya "Mnyama",tatu Mwasika,mbili Juma Abdul na Golini kama kawa Yaw Berko:halafu wakati huo nje watakuwa wanasubiri,Nizar,Shamte Ally,Oscar,Omega Seme na Ladislaus Mbogo:Kumbuka Hamis Kiiza na Said Bahanuz wanagonjwa!!!!!!

sasa unadhani kwa kikosi hiki kwa nini hao wakamatji watu ovyo wasilale 5-1?

Wewe ndo wabejasana kabisa, yaani benchi hakuna golikipa? hiyo ni timu ya mpira au ile ya bao ndo mmeamua kuingiza leo?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom