Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

Nawasihi wapenzi wa soka; hasa wa Yanga, Azam pamoja na Simba muwe mnaenda Uwanjani walau mara moja moja mkishuhudia timu zenu zikicheza na muweze kujionea ni jinsi gani timu zenu zinacheza, kuliko kubaki kuwasikiliza watangazaji wa TBC1 na KISS FM ambao mara nyingi wamekua wakiwapotosha wasikilzaji kwakweli mpira unaochezwa kiwanjani si huo unaotamkwa midomoni mwa Watangazaji wetu.

Kwa waliokua Uwanjani leo kati ya mechi ya Yanga na Polisi Morogoro wataniunga mkono; mpira uliochezwa Yanga umetuachia mashaka.....hawakua na kitu kipya cha kujivunia, walikua wanacheza kana kwamba hata mazoezi huwa hawafanyi...ni wachezaji wachache sana walionekana wanajaribu kucheza kama vile Twite, Msuva lakini waliosalia sikuona jipya kwao
 
hivi ndo vya muhimu sana ulivoongea sema natumia mchina ningekugongea bonge la like acha tu..

worry out ntakupaga tu hiyo like..
 
Nawasihi wapenzi wa soka; hasa wa Yanga, Azam pamoja na Simba muwe mnaenda Uwanjani walau mara moja moja mkishuhudia timu zenu zikicheza na muweze kujionea ni jinsi gani timu zenu zinacheza, kuliko kubaki kuwasikiliza watangazaji wa TBC1 na KISS FM ambao mara nyingi wamekua wakiwapotosha wasikilzaji kwakweli mpira unaochezwa kiwanjani si huo unaotamkwa midomoni mwa Watangazaji wetu.

Kwa waliokua Uwanjani leo kati ya mechi ya Yanga na Polisi Morogoro wataniunga mkono; mpira uliochezwa Yanga umetuachia mashaka.....hawakua na kitu kipya cha kujivunia, walikua wanacheza kana kwamba hata mazoezi huwa hawafanyi...ni wachezaji wachache sana walionekana wanajaribu kucheza kama vile Twite, Msuva lakini waliosalia sikuona jipya kwao

Mkuu hayo ni maneno ya mkosaji,kule Tanga ile mechi yenu ilicheza vitu gani dhidi Mgambo?....acha habari zako bana,mpira wa Tanzania ndo ulivyo wewe ulitaka uone move kama za Borusia Dortmund za jana hapo Taifa,forget!!!
Halafu kwenda mpirani siku 1 isiwe sababu,watu tunakwendaga sana mpirani sema hizi mechi za katikati ya wiki sizo..wengine huwa tunabanwa na majukumu yetu ya ujenzi wa hili Taifa lako lililopoteza mwelekeo kama Club yako.
Na mwisho kabisa usifikiri watu sasa hv wanategemea kusikiliza matangazo ya mpira kupitia radio StarTV inakuwa hewani in almost all big games na watu tunashuhudia live,mfano jana tumeshuhudia vitu vya Msuva,"Darliz" a.k.a "Kanzu" ya Tegete,move za hesabu za Luhende n.k....kama umekosa cha kuongea ongea hata kusimamishwa kwa Nyoso na Boban siyo kuongelea mambo yasiyokuhusu...OVER!
 
hizo ni jazba tu zinakuandama mtani....kwa mechi ya jana uwezi kudanganya mtu, Tegete alipiga move gani ya maana-alikua anarukaruka tu uwanjani utafikiri anacheza kidalipoo....na kati ya waliochangia Yanga ikose ushindi mnono wa magoli zaidi ya matatu kwa wale vibonde wa ligi mmojawapo ni Tegete; we kama uliona hizo kanzu n.k basi macho yako yana matatizo; umesema nimecheki mechi moja tu ndo nikaibuka na maneno haya sasa kama wewe unacheki kila mechi kwanini sasa utoagi taarifa za ukweli!!!!!, na kwanini mechi ya jana hukuwa uwanjani?...sote tuna majukumu makubwa ya kitaifa usifikiri we ndo mtumishi pekee ktk hii serikali, hayo tuyaache mtani ila acheni kuwa mna exaggerate mambo bwana. Timu zetu tunazipa sifa zisizostahili...Mpira hakuna.
 
hizo ni jazba tu zinakuandama mtani....kwa mechi ya jana uwezi kudanganya mtu, Tegete kanzu alimpiga nani-alikua anarukaruka tu uwanjani utafikiri anacheza kidalipoo....na kati ya waliochangia Yanga ikose ushindi mnono wa magoli zaidi ya matatu kwa wale vibonde wa ligi mmojawapo ni Tegete; we kama uliona hizo kanzu n.k basi macho yako yana matatizo; umesema nimecheki mechi moja tu ndo nikaibuka na maneno haya sasa kama wewe unacheki kila mechi kwanini sasa utoagi taarifa za ukweli!!!!!, na kwanini mechi ya jana hukuwa uwanjani?...sote tuna majukumu makubwa ya kitaifa usifikiri we ndo mtumishi pekee ktk hii serikali, hayo tuyaache mtani ila acheni kuwa mna exaggerate mambo bwana. Timu zetu tunazipa sifa zisizostahili...Mpira hakuna.

Jumamosi na Azam mnataka droo au mtamwachia point 3 aende nazo kushinda nasikia hamtaki sasa hivi
 
pointi 3 tunabeba hizo, na hapo ndo mtashangaa.....hizi drooo ulikua ni upepo umepita na umeisha.
 
Huna timu ya kubeba point 3 unayo ya kudroo ombeni Mungu mtoke azam akiwalewesha juice za kijoti atawapakata Maharage akae sawa hamkawii kulilia hela za jembe Mbuyu Twitte
 
I dare not to comment anything on this but anyway definitely mistake w'll not be repeated again....
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom