Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

Kunaweza kuwa na mabadiliko kwenye kuanzia nafasi ya 5 na kwendela lakini mimi narudia kusema msimamo wa ligi utakuwa kama huu hapa chini, especially kwa nafasi 4 za kwanza...

Dont go away!
Ligi itaisha hivi (8 bora):

1. Yanga (Bingwa)
2. Azam (mshindi wa pili)
3. Simba / Coastal
4. Simba / Coastal
5. Mtibwa
6. Prisons
7. Toto
8. Ruvu JKT

Simba sevuni hii post na msikimbie mwishoni mwa ligi!
 
Kunaweza kuwa na mabadiliko kwenye kuanzia nafasi ya 5 na kwendela lakini mimi narudia kusema msimamo wa ligi utakuwa kama huu hapa chini, especially kwa nafasi 4 za kwanza...

Dont go away!

Tupe msimamo wa sasa ndo tusave huo wa baadaye.
 
....mpira unaochezwa na Yanga unatia kichefuchefu....sijui wachezaji leo wamenyweshwa supu ya Bamia!!!!!
 
Kunaweza kuwa na mabadiliko kwenye kuanzia nafasi ya 5 na kwendela lakini mimi narudia kusema msimamo wa ligi utakuwa kama huu hapa chini, especially kwa nafasi 4 za kwanza...

Dont go away!
Unaota wewe!!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom