Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

Yanga v/s Polisi morogoro National Stadium Live!

.....kidogo sasa Yanga wameamuka sasa, wameanza kuchangamka.
 
jumamosi simba 0 azam 0 nimepigiwa tok home yule pweza wangu katema cheche zake
 
Huu mpira anaocheza Kavumbagu angekuwa anaucheza Akuffor Simba wasingetoa sare zote zile
 
Huu mpira anaocheza Kavumbagu angekuwa anaucheza Akuffor Simba wasingetoa sare zote zile

Tema mate chini mkuu,usilitaje jina la Akuffo humu ndani vinginevyo wote sisi tutakuwa na degedege kwani humjui au umesahau siku ile wanacheza na Sofanyau ya kenya uwanja wa Taifa?acha bana usitutie majaribuni.
 
Hakika hii ni wiki nzuri kwa mashabiki wa yanga.tukutane pale simba kapakatwa tukajipongeze kidogo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom