Ukristo na uislam ni sawa na Simba na Yanga

Mtapenda

JF-Expert Member
Sep 20, 2011
1,115
2,055
Ubishani wa wakristo na waislam haupishani na ule wa simba na yanga

Waislam wanaamini Yesu(nabii isa) alikua muislam na ali swali msikitini vs wakristo wanaamini Yesu ndio chimbuko la ukristo na alikua mkristo

Waislam wanaamini wakristo wote wanaenda motoni kwakua waanaabudu kupitia Yesu na hivyo hivyo wakristo wanaamini waislam wote motoni kwakua hawaja mkili kristo Yesu kua mwokozi wa ulimwengu

Waislam wanaamini peponi kuna wanawake wazuri, vyakula vizuri, vinywaji vizuri hadi pombe kwa mujibu wa shekhe kipozeo wakristo wanaamini peponi ni kuimba na kucheza muda wote

Mkristo na muislam hawawezi kuowana kulingan na imani tofauti atakama ni kabila moja la kisukumu ama kinyakyusya

Maoni yangu

Hizi dini zote na za kutungwa na lengo lao kututawanya kiimani ili dunia itawaliwe kirahisi kusiwepo na umoja

Kwa hilo wamefanikiwa leo hii msukuma yupo tayari kumuuwa msukuma mwenzake sababu ya mpishano wa Dini

Mungu hana Dini sio muislam wala mkristo haya mambo yote wameleta wanadamu haswa wale walio kua na uwezo wa kufikiri na kuwaza ya mbele zaidi

Mwisho wa Dunia hakuna ila kuna mwisho wa kudanganywa na sasa watu wengi Duniani wameamka na hawadanganywi tena

Dini zimeleta vita kama palestine na Israel, Somalia, sudan na nigeria kote kumezaa magaidi ambao wanamlengo wa kidini na wanataka kueneza dini nchi hazikaliki

NINI MAONI YAKO MWANA JAMII FORUM
 
Wakristo hatusemi Peponi ni kuimba na kucheza, bali peponi ni Kuabudu na kusifu...

Kuzaliana ni Duniani tu, mbinguni hakuna mizagamuano. Lakini hawa ndugu zetu wa Kobazi na vibagarashia wanaamini tutapewa Bikra 72, sasa je wanawake nao watapewa zawadi gani 😂
 
Wakristo hatusemi Peponi ni kuimba na kucheza, bali peponi ni Kuabudu na kusifu...

Kuzaliana ni Duniani tu, mbinguni hakuna mizagamuano. Lakini hawa ndugu zetu wa Kobazi na vibagarashia wanaamini tutapewa Bikra 72, sasa je wanawake nao watapewa zawadi gani
Mtafute Bwana wako Yesu alivaa nini halafu uje uwa joke Waislam. Halafu tafuta katika Biblia mavazi matakatifu halafu uje uwaseme Waislam. Usichanganye kati ya dini ya Yesu na Ukiristo. Yesu hana dalili hata moja kwamba alikuwa mkiristo.
 
Ndio maana nikasema hizi Dini kama simba na yanga kila mmoka ana hukumu cha mwenzake
 
Mtafute Bwana wako Yesu alivaa nini halafu uje uwa joke Waislam. Halafu tafuta katika Biblia mavazi matakatifu halafu uje uwaseme Waislam. Usichanganye kati ya dini ya Yesu na Ukiristo. Yesu hana dalili hata moja kwamba alikuwa mkiristo.

Yale yale kama simba na yanga kila mmoja anaona mwenzake mkosefu
 
Uislam haupingani na ukristo tu unapingana na yeyote ambae haamini katika kumuabudu Mungu mmoja wawe wakristo wawe wayahudi Buddhist wote kwahiyo ni Islam against kuffar.
 
Mtafute Bwana wako Yesu alivaa nini halafu uje uwa joke Waislam. Halafu tafuta katika Biblia mavazi matakatifu halafu uje uwaseme Waislam. Usichanganye kati ya dini ya Yesu na Ukiristo. Yesu hana dalili hata moja kwamba alikuwa mkiristo.
Hiyo Dini yenu imekuja Duniani miaka 700 baada ya Yesu kuondoka Duniani, na imeletwa na Mohammad... Utasemaje kuwa Yesu alikuwa Muislam, wakati hata Dini yenyewe haikuwepo kipindi chake 😂

Kuhusu mavazi, hayana uhusiano na Dini, Karne zile hakukuwa na Style mpya ya kavazi zaidi ya magauni, ambayo nyinyi mnayaita kanzu. Angalia hata Roman Empire, wale Warumi, tazama picha za watawala wao, walikuwa wanavaa magauni, kwa sababu ndilo vazi lililokuwa maarufu kipindi kile... Hizi suruali na mashati zimekuja juzi juzi tu.

Pia nikufahamishe tu, Ukristo maana yake ni Ufuasi wa Yesu kristo, yani ukiitwa mkristo maana yake wewe ni mfuasi wa Yesu kristo, sasa uwezi kusema yesu alikuwa mkristo kwa sababu yeye hajifuati, sisi ndio tunamfuata.
 
Ukitaka kuwa mjinga maishani, fuatilia dini zisizo na mantiki maishani mwako yaani hizi dini za Kikristo na Uislam. Kwanza kabisa ni dini zilizotengenezwa kimkakati, hazina ukweli wowote zaidi ya fantasies tu za kusisimua watu na kuwatia watu hofu. Tizama mwanadamu (haswa Mwafrika) yeyote azifuatiliae hizi dini kwa makini, utakuta ni mpuuzi tu, mshirikina, mnafiki, ana roho mbaya, kahaba wa zamani kaacha ukahaba baada ya kuchoka na kuamua kustaafu kujificha kwenye dini, wengi ni kama hawana hope maishani.
 
Ila fairly peponi inatakiwa tule bata baada ya mbinyo mkali wa maisha ya Duniani.
I stand with Kobaz.
 
Uislam haupingani na ukristo tu unapingana na yeyote ambae haamini katika kumuabudu Mungu mmoja wawe wakristo wawe wayahudi Buddhist wote kwahiyo ni Islam against kuffar.

Uislam unasema Yesu ni wao na muislam anaitwa nabii issa pia wakristo wanasema Yesu ni wao hapo kama simba na yanga mmoja afunge goal na story za kutungwa
 
Ukitaka kuwa mjinga maishani, fuatilia dini zisizo na mantiki maishani mwako yaani hizi dini za Kikristo na Uislam. Kwanza kabisa ni dini zilizotengenezwa kimkakati, hazina ukweli wowote zaidi ya fantasies tu za kusisimua watu na kuwatia watu hofu. Tizama mwanadamu (haswa Mwafrika) yeyote azifuatiliae hizi dini kwa makini, utakuta ni mpuuzi tu, mshirikina, mnafiki, ana roho mbaya, kahaba wa zamani kaacha ukahaba baada ya kuchoka na kuamua kustaafu kujificha kwenye dini, wengi ni kama hawana hope maishani.

Upo makini sanaa mzee umeiva
 
Back
Top Bottom