Utapoteza muda bure... we changia yangaVipi Kilomoni na Bi Hindu hawajambo?
Mkuu soka letu bado linahitaji hamasa ili watu waende uwanjani ndio desturi ya mtanzania... Ni kweli timu ikiwa bora watu wataenda uwanjani ila ili wajae zaidi wanahitaji hamasa ndio maana Muro na Manala wanafanya kazi hiyo.Simba mashabiki Timu ikiwa na hali mbaya mnaitelekeza,na Timu za Kkoo kama usipokuwa inafanya vizuri huwezi muona shabiki kiwanjani,sikweli kwamba uwanja ulijaa kwasababu ya manji bali timu bora,enzi izo Simba mnajifanya mnatumia vijana kumbe njaa mlikuwa mnajaza viwanja?
Wewe unafurahia tu boss Mo au siyoUtapoteza muda bure... we changia yanga
Inabidi tumfuate kweli huko kwenye akaunti zake za social media.Huyu M'senge Musonye sijui kwanini wanamchekea sana kwa sababu hii ni mara ya pili! Yaani alivyo mpumbavu! Yaani timu zingine zote zikijitoa ni sawa kwao, lkini wakijito Yanga, lazima alete maneno ya ki'senge! Hivi pamoja na uzee wake hana account kwenye social media tumfuate huko tukamshikishe adabu huyu mwanaharamu? Nakumbuka miaka ya nyuma Yanga ilijitoa halafu huyu mzen'ge akawatukana sana Yanga! Na tabia ya Wakenya ( nahisi ni Mkenya huyu mbwiga), ni ile spirit yao ya kishenzi ya kuwaona Watanzania ni mafa'la ndio mana mpaka huyu mbwa amekuwa akiitukana Yanga mara kwa mara!
Please, mwenye social account ya Musonye
Unajua nilikuwa sifahamu nini kinachoendelea lakini nilipoona tu heading, nikakumbuka tukio la miaka ya nyuma kuhusu huyu Musonye jinsi ambavyo alikuwa ametukana; kwahiyo nikajua tu atakuwa ameleta tena upumbavu wake! Ngoja nitafute social media accounts! Unaweza kunitajia full name ili nijaribu kumtafuta (though na mimi nalafuta jina lake)!Inabidi tumfuate kweli huko kwenye akaunti zake za social media.
Nicholas Musonye, (spelling za first name sina uhakika)Unajua nilikuwa sifahamu nini kinachoendelea lakini nilipoona tu heading, nikakumbuka tukio la miaka ya nyuma kuhusu huyu Musonye jinsi ambavyo alikuwa ametukana; kwahiyo nikajua tu atakuwa ameleta tena upumbavu wake! Ngoja nitafute social media accounts! Unaweza kunitajia full name ili nijaribu kumtafuta (though na mimi nalafuta jina lake)!
Nimempata kwenye twitter, na ninamfuata: https://twitter.com/MusonyeNicholasNicholas Musonye, (spelling za first name sina uhakika)
Inabidi tumpandie kule kule ashike adabu yake kabisa.
Kujitoa wengine ni shwali ila Yanga akijitoa nongwa.
Ha ha haaa, ahsante, ngoja nami nimpandie huko hukoNimempata kwenye twitter, na ninamfuata: https://twitter.com/MusonyeNicholas
Twitter pumbavu sana, nimepiga bonge la kombora, meseji yangu hawakui-display! Nasubiri hasira zipungue labda nitaweza kuandika kwa busara!Ha ha haaa, ahsante, ngoja nami nimpandie huko huko
Hapa nlipo Yanga ni wengi kuliko Simba.Fanya utafiti hapo ulipo uliza watu kumi kisha njoo na jibu wawili yanga wanane simba hao mashabiki wengi mnawatoa wapi usidhani hata ndani kwako au kwenu mkiwa watano wanne simba yanga mmoja pengine usipate kabisa kila aliona Post hii afanye utafiti alete jibu msema kweli mpenzi wa Mungu
Hivi huyu hadi afie hapo?Huyo ni kama chis fulani, alishaiongelea Yanga maneno ya hovyo kipindi iliposusia hayo mashindano.
Kwa ujumla hayo mashindano yamekosa umaarufu, labda CECAFA wabadilishe Katibu Mkuu.
Mwisho yote simba ilishiriki robo fainali ya mabingwa wa Afrika !Kwani Mikia Fc hamjapigwa goli 15 mechi 3 ndani ya miezi 6.
Hiyo ulotaja ya mwaka 1998 tena Raja akiwa kwao ndo ya kutusumbua sisi?
Ninyi mmebakwa goli 5 5 mkaja na msemo kila mtu ashinde kwao mbona hamjiangalii?
Mkuu hata nyie hampendi bakuli ila basi tu ni mapito ya muda....Wewe unafurahia tu boss Mo au siyo