3llyEmma
JF-Expert Member
- Oct 23, 2017
- 6,172
- 6,885
Tunatoa kiingilio sio bure kama nyieMpaka mbembelezwe na Haji ndio mwende uwanjani!
Tunatoa kiingilio sio bure kama nyieMpaka mbembelezwe na Haji ndio mwende uwanjani!
Musonye lazima aumie.. tena ilitakiwa mashindano yake yawe hapa BONGO halaft timu zote zijitoe... tuone kama hata 9000 Mlangoni angepataLazima aumie,simba na yanga ni giants wa east Africa,halafu amepanic nini wakati kasema wameongezeka As Vita Motema Pembe na ZESCO,kombe lenyewe wanawania dola 30,000.
Mil kama 62,timu ikae Rwanda, mazoezi,gharama,na bado ikose hiyo hela na bado Club bingwa inawasubiri,nilitamani azam nao wangejito
Simba mashabiki Timu ikiwa na hali mbaya mnaitelekeza,na Timu za Kkoo kama usipokuwa inafanya vizuri huwezi muona shabiki kiwanjani,sikweli kwamba uwanja ulijaa kwasababu ya manji bali timu bora,enzi izo Simba mnajifanya mnatumia vijana kumbe njaa mlikuwa mnajaza viwanja?Mkuu pamoja na hali ya kipindi cha nyuma hatujawahi kupitisha bakuli... halafu yanga enzi za Manji mlijaza uwanja mkiambiwa bure bila kiingilio.
Kwani Mikia Fc hamjapigwa goli 15 mechi 3 ndani ya miezi 6.Kwanini awaombe radhi kwani hamkuwahi kufungwa goli 6-0 kule Morroco?
Vipi Kilomoni na Bi Hindu hawajambo?Tunatoa kiingilio sio bure kama nyie
Angalia timu ipi ilipata mapato mengi ya kiingilio kwa miaka mitatu iliyopita ndiyo utajua nani ana mashabiki wengiMkuu pamoja na hali ya kipindi cha nyuma hatujawahi kupitisha bakuli... halafu yanga enzi za Manji mlijaza uwanja mkiambiwa bure bila kiingilio.
Msimu uliopitaAngalia timu ipi ilipata mapato mengi ya kiingilio kwa miaka mitatu iliyopita ndiyo utajua nani ana mashabiki wengi
Uwanja wa nyumbani kwa msimu huu imeongoza Biashara,Simba kwa mapato kamzidi Yanga msimu huu pekee tena uwanja wa TaifaMsimu uliopita
1.Simba
2.Yanga
3.Lipuli
Misimu miwili ya nyuma na msimu huu sijui
Msimu uliopita yanga kazidiwa na Simba piaUwanja wa nyumbani kwa msimu huu imeongoza Biashara,Simba kwa mapato kamzidi Yanga msimu huu pekee tena uwanja wa Taifa
Uongo wa kiwango cha lami huu msimu uliopita jeUwanja wa nyumbani kwa msimu huu imeongoza Biashara,Simba kwa mapato kamzidi Yanga msimu huu pekee tena uwanja wa Taifa







Huyo jamaa hata kwao kenya wamemchoka na ni wakumdharau tuu kwani tangu achukue uongozi CECAFA mvuto wote umepotea kutokana na tabia zake za kidikteta.Hii kwa wanachama, mashabiki, wapenzi na wakereketwa wa Timu ya Yanga, mabingwa wa Ligi kuu bara mara 27.
Nicolas Musonye, umetukosea sana kwa maneno mabovu dhidi yetu, sababu za Yanga kujitoa ni dhahiri na haziepukiki.
Wito : Uombe radhi kwa Timu yetu kabla ya mwezi huu kuisha lasivyo sisi Yanga ukija Tanzania tutaitisha maandamano ya kukupinga kwa maneno yako mabaya na kejeli kama si dharau.
Kivepee?Musonye ni mwiba mguuni kwa Yanga!