McDonath
Senior Member
- Jan 2, 2018
- 110
- 105
Yanga inapokuwa kwenye ubora,Na simba inapokuwa kwenye ubora Simba inaingiza mashabiki wengi viwanjani kuliko Yanga hili lipo wazi nimeshashuhudia
Mara ya mwisho Yanga kuijaza taifa ni vs Mazembe tena ilikua free entry lakini Simba hili lishakuwa kawaida kwenye international games
In addition sijawahi kwenda taifa kwenye game za Simba vs Yanga na nikaona upande wa Yanga umejaa kuliko Simba hata ile Simba yenye chipukizi wengi dhidi ya Yanga ya kina Haruna na Msuva haikutokea hii