Yanga inambidi amfunge Medeama goli 5 ili kufufua matumaini ya kufuzu

Sio lazima kwasababu hakuna atakayelingana nae point hata kama mechi ya mwisho dhidi ya Al Ahly Yanga akifungwa magoli 7 na hata kama Belouizdad akishinda magoli 10 dhidi ya Medeama hatofikisha point 8. Rudia kusoma na kwa makini kisha jumlisha point

Yanga anatakiwa aombee Al Ahly avune point 6 kwenye marudiano dhidi ya Belouizdad na dhidi Medeama hivyo wote Medeama na Belouizdad watabakia na point zao 4. Yanga nae anatakiwa ahakikishe anapata point 6 kwenye mechi zake za kwa Mkapa. Hivyo atakuwa na point 8 zisizoweza kufikishwa na yeyote kati ya Belouizdad na Medeama.
Belouzdad anachekea chooni,
 
Belouzdad anachekea chooni,
Mleta uzi kaleta hesabu za vidole (assumption) lakini kashindwa kufanya assumption katika scenario zote. Mwelekeo wa Yanga utapatikana katika mechi ya kesho dhidi ya Medeama. Akishindwa kumfunga basi hana mwendo tena. Ila akishinda basi katika moja ya sala na maombi yake ni Al Ahly amfunge Belouizdad.
 
View attachment 2847530

Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali)

Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa kumfunga kwa goli 5 au zaidi

Likely Scenario ipo hivi

Yanga anagombea nafasi ya pili na C.R.B huku yanga akiwa na goal difference ya -3 wakati CRB ana +2

Yanga akishinda goli 5 atakuwa na pointi 5 na G.D ya +2 na CRB akitoa draw na Ahly kule Algeria (likely scenario) naye atakuwa na pointi 5 na G.D yake ikibaki +2 na Yanga kuwa nafasi ya tatu

Mechi ya 5 Yanga dhidi ya Ahly kule Misri akijitahidi akifungwa 2-1 bado atakuwa na pointi zake 5 bado na goal diffence ya +1

CRB akimfunga Medeama kule Algeria 2-0 naye atakuwa na pointi 8 na G.D ya +4

Mechi ya mwisho Yanga dhidi ya CRB anamfunga goli 3-0 kwa Mkapa anakuwa na pointi 8 na G.D ya +4 huku CRB akibaki na pointi nane pia na G.D ya +1 na Yanga anapitaa kwa kuwa na magoli mengi

So mechi ya kesho ndio mechi pekee ambayo Yanga ana nafasi kubwa ya ushindi, ushindi basi uwe mnono....
sio kweli yanga inahitaji ushindi hata wa goli moja tu
 
Mleta uzi kaleta hesabu za vidole (assumption) lakini kashindwa kufanya assumption katika scebario zote. Mwelekeo wa Yanga utapatikana katika mechi ya kesho dhidi ya Medeama. Akishindwa kumfunga basi hana mwendo tena. Ila akishinda basi katika moja ya sala na maombi yake ni Al Ahly amfunge Belouizdad.
Yaan panga pangua, Al ahly na Belouzdad wanaenda Robo.
 
Kwahiyo kwenye sababu namba moja, Simba kufufuka na morali kwanini hukutaka kuangalia ishu ya ubora na vipaji vya wachezaji kwa kila timu? Je wakati Simba ikiwa imefufuka je Asec wao watakuwa kwenye kifo? Au watakuwa wako vile vile wasione umuhimu wa kushinda mechi?
Asec wanaweza kuwa na midset hiyo ya kuona wameshafuzu ila pia wanaweza kuwa na mindset ya kuzitaka alama tatu kwa Simba ili ajihakikishie kuongoza kundi kwa point 13 ambazo haziwezifikiwa na timu yoyote ile.
Asec hata akitoa draw na Simba bado atakuwa na uhakika wa kuongoza kundi

Asec hana ubora wa kutisha sana kumzidi Simba
 
Niwe mkweli siwezi nikamuombea Yanga apite makundi.

Ntamuombea ashinde mechi lakini sio afike robo

Robo ambayo Simba kwa miaka minne amekuwa akiingia lakini yeye amekuwa mtu wa kwanza kunidhihaki na sasa kanitunhia jina Mwakarobo.

Hapana siwezi kuwa mnafiki.

Lazima ajue kwanini kuna ugumu kwenye haya mashindano, lazima atambue kwanini kufika hapa ilimchukua miaka 27.

Hii ndio nidhamu ya mpira ambayo anatakiwa kujifunza na sio kupiga domo kwa timu pinzani na kuzipa mbinu za kumfunga Simba.
Ndugu yangu adriz hili faili vipi halifai kuwekwa hapo masijala kweli?

#Kwamatumiziyabaadae. 😀
 
View attachment 2847530

Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali)

Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa kumfunga kwa goli 5 au zaidi

Likely Scenario ipo hivi

Yanga anagombea nafasi ya pili na C.R.B huku yanga akiwa na goal difference ya -3 wakati CRB ana +2

Yanga akishinda goli 5 atakuwa na pointi 5 na G.D ya +2 na CRB akitoa draw na Ahly kule Algeria (likely scenario) naye atakuwa na pointi 5 na G.D yake ikibaki +2 na Yanga kuwa nafasi ya tatu

Mechi ya 5 Yanga dhidi ya Ahly kule Misri akijitahidi akifungwa 2-1 bado atakuwa na pointi zake 5 bado na goal diffence ya +1

CRB akimfunga Medeama kule Algeria 2-0 naye atakuwa na pointi 8 na G.D ya +4

Mechi ya mwisho Yanga dhidi ya CRB anamfunga goli 3-0 kwa Mkapa anakuwa na pointi 8 na G.D ya +4 huku CRB akibaki na pointi nane pia na G.D ya +1 na Yanga anapitaa kwa kuwa na magoli mengi

So mechi ya kesho ndio mechi pekee ambayo Yanga ana nafasi kubwa ya ushindi, ushindi basi uwe mnono....
Ha ha ha nimecheka kama mazuri
 
Niwe mkweli siwezi nikamuombea Yanga apite makundi.

Ntamuombea ashinde mechi lakini sio afike robo

Robo ambayo Simba kwa miaka minne amekuwa akiingia lakini yeye amekuwa mtu wa kwanza kunidhihaki na sasa kanitunhia jina Mwakarobo.

Hapana siwezi kuwa mnafiki.

Lazima ajue kwanini kuna ugumu kwenye haya mashindano, lazima atambue kwanini kufika hapa ilimchukua miaka 27.

Hii ndio nidhamu ya mpira ambayo anatakiwa kujifunza na sio kupiga domo kwa timu pinzani na kuzipa mbinu za kumfunga Simba.
Mwakarobo kwa sababu amekuwa kubwa jinga miaka yote hajifunzi akakwama hapohapo mfano wake ni sawa jamaa ambaye kila siku anaingia chumbani na mkewe wanakuwa faragha na kusaula lakini hafanyi chochote ataonekana kolo kuliko jamaa mwengine ambaye anajitafuta bado hajaoa bado lakini anaesema siku nitakapo mpata mweza kitaumana na ikawa hivyo hakufanya uzembe alipojipata.
 
Safari ya Yanga robo fainali ni ngumu, ni ngumu sababu ya kuruhusu zile goal 3. Huku cha kwanza wana angalia H2H na mshindani wako ikiwa point mpo sawa. Mshindani wa Yanga ni CR B hivyo Yanga anatakiwa kumfunga CR B 3 au zaidi kitu ambacho ni kigumu.
Hata kama akimfunga Medeama 10 ila akishindwa kumfunga CR B goal 3 hapa kwa Mkapa ajiandae safari yake ndio imeiva arudi kucheza na Mashujaa na marefa wake wa mchongo kina Kheri Sasi.
 
Mleta uzi kaleta hesabu za vidole (assumption) lakini kashindwa kufanya assumption katika scenario zote. Mwelekeo wa Yanga utapatikana katika mechi ya kesho dhidi ya Medeama. Akishindwa kumfunga basi hana mwendo tena. Ila akishinda basi katika moja ya sala na maombi yake ni Al Ahly amfunge Belouizdad.
Sasa mpira wa kutegemea sala kwenye mechi nyingine ni mpira mgumu sana...Yanga hatahitaji hizo sala kama akimfunga Medeama goli 5 akafunga na CRB goli 3 halafu akatoe draw kule Misri...... hata CRB akimfunga Ahly bado Yanga atapita
 
Safari ya Yanga robo fainali ni ngumu, ni ngumu sababu ya kuruhusu zile goal 3. Huku cha kwanza wana angalia H2H na mshindani wako ikiwa point mpo sawa. Mshindani wa Yanga ni CR B hivyo Yanga anatakiwa kumfunga CR B 3 au zaidi kitu ambacho ni kigumu.
Hata kama akimfunga Medeama 10 ila akishindwa kumfunga CR B goal 3 hapa kwa Mkapa ajiandae safari yake ndio imeiva arudi kucheza na Mashujaa na marefa wake wa mchongo kina Kheri Sasi.
Ndio nimesema pia itabidi amfunge CRB goli 3 kwa 0
 
View attachment 2847530

Ki ukweli japo mi shabiki wa Simba nataka pia Yanga apite robo, sababu itakuwa heshima kwa TZ kuwa na timu mbili robo fainali, katika timu 8 (Hata Misri ni mara chache anafanikiwa kuingiza timu 2 robo fainali)

Ili Yanga awe na nafasi ya kufuzu robo sio tu amfunge Medeama bali anatakiwa kumfunga kwa goli 5 au zaidi

Likely Scenario ipo hivi

Yanga anagombea nafasi ya pili na C.R.B huku yanga akiwa na goal difference ya -3 wakati CRB ana +2

Yanga akishinda goli 5 atakuwa na pointi 5 na G.D ya +2 na CRB akitoa draw na Ahly kule Algeria (likely scenario) naye atakuwa na pointi 5 na G.D yake ikibaki +2 na Yanga kuwa nafasi ya tatu

Mechi ya 5 Yanga dhidi ya Ahly kule Misri akijitahidi akifungwa 2-1 bado atakuwa na pointi zake 5 bado na goal diffence ya +1

CRB akimfunga Medeama kule Algeria 2-0 naye atakuwa na pointi 8 na G.D ya +4

Mechi ya mwisho Yanga dhidi ya CRB anamfunga goli 3-0 kwa Mkapa anakuwa na pointi 8 na G.D ya +4 huku CRB akibaki na pointi nane pia na G.D ya +1 na Yanga anapitaa kwa kuwa na magoli mengi

So mechi ya kesho ndio mechi pekee ambayo Yanga ana nafasi kubwa ya ushindi, ushindi basi uwe mnono....
Kinachoitajika ni point 3 ayo mengine ya goli 5 ya kwako, hesabu zako za tuki na waki hazina nafasi!
 
Wakilingana point na timu yoyote katika group stage, kinachoangaliwa next ni 'superior head-to-head rule', yaani timu hizo mbili zilipokutana zenyewe katika mechi mbili ni ipi ilikuwa na matokeo bora ikiwemo goal difference na away goal(s) baina ya hizo timu, bila kujali matokeo ya mechi nyingine.

Kwa mantiki hiyo, hata kama Yanga ikishinda 7-0 dhidi ya Medeama halafu ikaja kushinda 4-1 dhidi ya Belouzdad na wakalingana points na Belouzdad, basi itakayokuwa juu ya mwenzake ni Belouzdad kwa ajili ya goli la ugenini. Kwa hiyo mabao mengi dhidi ya Medeama yataisaidia Yanga iwapo watalingana point na Medeama, sio na Belouzdad

1703049812211.png
 
Ebwana eeeh huu uzi niliusoma ila sikuuzingatia sana maana bado nilikuwa kwenye vibe la ushindi wa jana. Kumbe safari ya Yanga inaweza kuisha rasmi leo au kabla hata ya mechi za mzunguko wa 5 wa timu zote? Yaani ili kujua kama atafuzu inabidi kuumiza vichwa kwa Tuki Waki Table, kwani mlitulipia ada?

Tuombee Medeama ampunguzie maumivu mgonjwa wetu mahututi kwa kunyofoa waya ili kuimaliza safari yake leo. Kama ndugu tuombee hilo. Ikishindikana saana basi CRB amfunge au atoke sare na Al Ahly katika mechi iliyoahirishwa iliyokuwa ifanyike jana. Ni suala la Yanga kuchagua tu anataka kufa kifo gani 🤣😂🤣
 
Back
Top Bottom