Johnny Sack
JF-Expert Member
- Jan 21, 2017
- 8,834
- 18,836
Tutajie wachezaji wa Club Africain wanaochezea timuya Taifa ya TunisiaYanga imeifunga club kutoka Tunisia ambayo inashiriki kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON
Na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya
Kuna kitu kinaitwa Google, ushawahi kukisikia?Tutajie wachezaji wa Club Africain wanaochezea timuya Taifa ya Tunisia
Duh..Kuna kitu kinaitwa Google, ushawahi kukisikia?
Usipende kutafuniwa kila kitu, utatafunwa
Goli moja linampa mtu mimba, tena ya mapacha wanneKwa hilo goli moja hebu msituchoshe jamani 😀 😀 😀 😀 😀
Kumbe ulikua unamaanisha goli la mapacha. Basi ngoja nikuacheGoli moja linampa mtu mimba, tena ya mapacha wanne
Kumbe na wewe bwabwa!!naona umekunika ipasavyo,sasa ngoja umwagiwe.
Hilo goli limetafutwa kwa dk 78 huoni kua ni zito sana?Kwa hilo goli moja hebu msituchoshe jamani 😀 😀 😀 😀 😀
Wapo wengi zaidi ya 7Tutajie wachezaji wa Club Africain wanaochezea timuya Taifa ya Tunisia
Yule ndugu yenu aliyewabatiza kwa jina la UTOPOLO hakukosea.Yanga imeifunga Club kutoka Tunisia ambayo inashiriki Kombe la Dunia mwaka huu, na ni timu ambayo inafanya vizuri sana AFCON, na timu za taifa kutoka nchi za kiarabu kama Egypt, Tunisia, Morroco, Algeria huwa zinaundwa na wachezaji kutoka ligi ya ndani. Tofauti kabisa na timu za taifa za nchi kama Nigeria, Cameroon, Ivory Coast ambao wanacheza Ulaya.
Wachezaji wengi wa Club Africain wanaunda kikosi cha Timu ya Taifa ya Tunisia inayoenda kushiriki Kombe la Dunia.
THINK ABOUT THAT!
Na hii ndiyo hufanya klabu za kutoka nchi za Kiarabu kuwa bora na kutawala michuano ya Klabu Bingwa Afrika tofauti na timu kutoka Ivory Coast au Nigeria.
Na aliyewabatiza mbumbumbu je?Yule ndugu yenu aliyewabatiza kwa jina la UTOPOLO hakukosea.
Hahahaahha umenifurahisha mkuuHilo goli limetafutwa kwa dk 78 huoni kua ni zito sana?
Uumbwaji wote wa watu duniani tofauti na Adam na Ever ni matokeo ya goli 1, usijidharau Kalpana, sababu wewe ni lile goli lililoshinda magoli mengine kwa mbio kukimbilia mfuko wa uzazi kuumbwa kijusi kupitia lile yai la Mama yetu...Kwa hilo goli moja hebu msituchoshe jamani
Hilo goli limetafutwa kwa dk 78 huoni kua ni zito sana?
Tutajie wachezaji wa Club Africain wanaochezea timuya Taifa ya Tunisia
Haya bana 😀 😀Uumbwaji wote wa watu duniani tofauti na Adam na Ever ni matokeo ya goli 1, usijidharau Kalpana, sababu wewe ni lile goli lililoshinda magoli mengine kwa mbio kukimbilia mfuko wa uzazi kuumbwa kijusi kupitia lile yai la Mama yetu...
Katika ubora wako