Yanga ichukuliwe hatua kwa uharibifu iliyofanya juzi uwanja wa Mkapa

Punguza kupanic angalia clips hapo juu. Waliorusha viti ni mashabiki wa simba pia bungeni huwa wanagonga meza kwa mikono na sio kupanda juu ya hizo meza kugonga kwa miguu
Bungeni kwenyewe wakishangilia wanagonga meza. Hapa tunaongelea kuleta vurugu kwa kurusha viti kwa mashabiki wengine.

Hiyo clip haionyeshi mshabiki hata mmoja wa Al Ahly akirusha kiti, wote wako kwenye vibe la kushangilia tu hawana shida na mtu.
 
Kwanza ungejitahidi kujua mtiririko wa matukio, hao walishambuliwa kwa viti na vitu vingine na ili kujihami ndiyo nao wakarusha viti. Waarabu wanakuja kila siku hapo kwa Mkapa, umewahi kuwaona wakifanya fujo? Mashabiki wa Wydad si waliwasha hizo fataki, uliona mashabiki wa Simba wakiwafanyia vurugu?
Lete evidence sio blah blah,kama ulikuwepo wakati wa tukio na sio kuongea kwa hisia zako lete video za hilo tukio
 
Manara kawajaza ujinga mmejaa.
Manara hamna watu aliowajaza ujinga kama nyie,striker boco akawaaminisha mko level za barcelona na hiyo kitu ndio inawasumbua kwenye vichwa vyenu mpaka hii leo,nyie ni kupelekwa mirembe
Screenshot_20231129-133325_Photos.jpg
 
Lini tumeenda mbele ya makao makuu yenu? Yaani tuache kupita barabara ya serikali,kisa kuna makao makuu ya 5imba.

Sisi tunawakaribisha kwenye mechi zetu,ila msifanye fujo kama fujo mkafanye kwenye timu yenu.
Duuh! Dalili za mtu mwenye changamoto ni hizi hapa. Tafadhali mtu aliye karibu naye ampatie msaada wa haraka.

Etu "Sisi tunawakaribisha kwenye mechi zetu", unadhani ni Yanga Day hiyo? Yatapita tu haya, vumilia tu.
 
Nilichokiona siku ile ni wanawake wa al ahly wakishangilia baada ya Wananchi kufungwa, wanawake hao walikuwa mchanganyiko wakike na wakiume wakuwa wamevalia jezi nyekundu zenye nembo ya mbet na mo xtra kuuubwaaaaa tumboni.
 
Isome tena hiyo kauli yako halafu jipige kifua mara tatu huku ukisema kwa sauti kubwa "mimi ni mjinga"
"Wewe ni mjinga"
Mmoja kati ya hao wanawake ulikuwa ni wewe,
Wewe ni mwanamke wa Al ahly bisha nikutie dole la makato yako makubwa kama try again.
 
Duuh! Dalili za mtu mwenye changamoto ni hizi hapa. Tafadhali mtu aliye karibu naye ampatie msaada wa haraka.

Etu "Sisi tunawakaribisha kwenye mechi zetu", unadhani ni Yanga Day hiyo? Yatapita tu haya, vumilia tu.
Nani mwenye changamoto kama sio ww unayebishana mpaka na video.

Nani avumilie kama sio nyie mnaosusa kwenda kwenye mechi zenu,mtazani mmelazimishwa kuishangilia 5imba.
 
"Wewe ni mjinga"
Mmoja kati ya hao wanawake ulikuwa ni wewe,
Wewe ni mwanamke wa Al ahly bisha nikutie dole la makato yako makubwa kama try again.
Sijawahi kuelewa maana ya kumtukana mtu kwa kumuita mwanamke. Hilo linakuwaje tusi?
 
Serikali imetumia hela kuboresha uwanja,hata Simba wana sehemu jasho lao katika kurepair na hayo yote yalifanywa kwa ajili ya kuheshimisha nchi kwenye mashindano ya kimataifa hasa African football league,club bingwa na AFCON, uwanja sasa hata timu mbali mbali za mataifa mengine wanaulipia na kucheza hapo, lakini hawa wennzetu hawana uchungu, TFF inatakiwa iwapige faini pamoja na Yanga kutoa hela kwa uharibu wote uwanja urekebishwe.

Sent using Jamii Forums mobile app
MASHABIKI WA SIMBA NA AL AHLY NDO WATAKAOPIGWA FAINI JUU YA HILO...VIELELEZO VIPO VYA WAO KUFANYA HILO TUKIO
 
Video zote mnazopost hakuna hata moja inayoonyesha mashabiki wa Al Ahly wakirusha viti. Wengine mnajitoa ufahamu na kulalamika mashabiki kukanyaga viti utadhani hamjawahi kwenda uwanjani.

Video hii hapa chini inaonyesha nini kilitokea. Angalia nani walianza kurusha viti na vitu vingine. Kama hii haitoshi semeni nitume zingine.
 

Attachments

  • 408ce4871a1f4cb7b6fede5d34e8ff78_1F4062D451C072ED6375EAD1F8315289_video_dashinit.mp4
    4.1 MB
Back
Top Bottom