Uharibifu uwanja wa Mkapa,kwa nini hatusikii matamko yoyote?

Cashman

JF-Expert Member
Jun 8, 2018
2,396
4,137
Ukweli ni kwamba yanga wamesababisha uharibifu sana pale Benjamin Mkapa kwa mechi yao ya jana.
Uharibifu huu,hali ya kutokuwa na ustaarab iliyooneshwa jana ingekuwa imefanywa na mashabiki wa Simba,leo kuanzia machawa wote ,makanjanja wa habari wakiongozea na dauda,viongozi wanaohusika na michezo na waajiriwa wa yanga wenyewe,wangeamka na matamko mengi dhidi ya Simba na ungekuwa mjadala wiki nzima.

Kwa nini hatujaona tamko lolote hadi sasa kama vile hakuna kilichotokea?
 
Bure haijawahi acha uwanja wetu salama hasa mageti ya kuingilia na mageti mengine madogo madogo ya ndani ya uwanja

Nakumbuka kwa mara ya kwanza enzi za Manji walitoa offa kwa wananyanga na mashabiki wa mpira kuingia kwenye mechi ilohusanisha yanga na timu flan ila mageti yalivunjwa kwa baada ya watu kuzuiwa kuingia uwanjan baada ya uwanja kujaa

Tufike mahali tuachane na bure ili kulinda rasmali yetu au zitafutwe namna bora zaid ambazo zitafanya uharibifu usiwepo
 
Back
Top Bottom