Yanga bingwa 2023-2024:Yaifunga Mtibwa 3-1 | NBC Premier League | Manungu Stadium | 13.05.2024

Yanga bomaye
Sema msimu huu ligi ilikuwa ngumu sana ndio maana tumedrop point Moja nyuma ya mwaka Jana
Pia Ile figisu tuliyafanyiwa hadi kupokwa kombe la mbao;uongozi uangalie namna nzuri msimu ujao yasitokee
 
Hongera Mabingwa wa kihistoria Jmosi siku ya parade nitakunywa pombe kuanzia asubuhi saa 4 kujiburudisha
 
Back
Top Bottom