Aisee! Kweli "mtoto akililia wembe wacha apewe ili akome" aka "mwana kulitafuta Mwana kulipata"Dahh tunaweza kukukosa Mkuu 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣Mods hawachelewi 😂😂😂😂😂😂😂😂…..halafu huyu mods atakua simba🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mimi nilikua nachangia tu alieomba kashapewa ban yake,
I love youuuuu to.I love youuuuuuuuuuuuuuuu
Maana anajiamini huku ana ID nyingine.Weka IDs zako zote...
Nilikwambia weka mke😂😂Nitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi.
JamiiForums Moderator
Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa.
View attachment 2589942
kila la heri wananchi 💚💛
kumbe,Moderator wetu watu wa haki sana kwa kweliMimi nilikua nachangia tu alieomba kashapewa ban yake,
Du tayariNitalitekeleza hili kwa kuwa nje ya jf kwa kipindi husika(tajwa) kama mods watashindwa kutekeleza nilichoahidi.
JamiiForums Moderator
Wale wa ahadi zitakazotekelezeka tukutane hapa.
View attachment 2589942
kila la heri wananchi