Yanayotokea Arusha Rais una la kusema?

DocGoddy

Member
Nov 24, 2010
10
0
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote wanaopigania haki,mimi najiuliza huyu mtu anayejiita ni Rais wetu haoni yote haya?kwanini anakuwa akifungia macho mambo makubwa hivi,tafsiri ni nini!!je yeye ndio anatoa order?au hana la kusema?my wory ni kuwa i dont even know if he cares kuona watu wanakufa kwa kupigania haki...
Je tutafika kweli??
Mkwere...just know u'll one day be responsible for these lost souls...
 
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote wanaopigania haki,mimi najiuliza huyu mtu anayejiita ni Rais wetu haoni yote haya?kwanini anakuwa akifungia macho mambo makubwa hivi,tafsiri ni nini!!je yeye ndio anatoa order?au hana la kusema?my wory ni kuwa i dont even know if he cares kuona watu wanakufa kwa kupigania haki... Je tutafika kweli?? Mkwere...just know u'll one day be responsible for these lost souls...
Du!
 
atasema nini sasa??? sana sana atajifunga tu!!! bora akae kimya!! his hands are full of inocent blood
 
Rais ana majukumu mengi ya maana kazi hii ya kushughulikia wavunja sheria iko mikononi mwa polisi

Mmepewa taarifa msiandamane mkakaidi, kwanini mnaiingilia kazi za vyombo vya usalama?

Mnapenda kulialia, fanyeni kazi uchaguzi umepita ok
 
kipofu wewe
 
Kwanza kabisa nawapa pole wale wote wanaopigania haki,mimi najiuliza huyu mtu anayejiita ni Rais wetu haoni yote haya?kwanini anakuwa akifungia macho mambo makubwa hivi,tafsiri ni nini!!je yeye ndio anatoa order?au hana la kusema?my wory ni kuwa i dont even know if he cares kuona watu wanakufa kwa kupigania haki...
Je tutafika kweli??
Mkwere...just know u'll one day be responsible for these lost souls...

Mnapigania haki gani kwanini msisubiri uchaguzi mwingine mkajaribu bahati kama wananchi watawakubali? Watanzani tutaleta mabadiliko kwa ballot paper sio kwa jazba

Huyu mchungaji atakuwa sawa na Mchungaji mwenzake Mtikila hawana sera wanatumia wafuasi wa kanisani kwa kutetea ualji, watz hatutodanganyika na sheria ifuate mkanda dhidi ya hawa wachungaji Traitors

Tunvyama vingi tanzania na hakuna atae fanya upuuzi kama huyu mchungaji, inabidi adhibitiwe vinginevyo atatuletea matatizo watanzania.
 
Uhai wa mtu ni bora kuliko hata uhimizaji wako wa kufanya kazi........ YOU SEEM TO BE CARELESS ABOUT SOMEONES LIFE. KAMA KWELI WEWE NI MCHA MUNGU, MANENO USEMAYO YATAKURUDIA, NA ADHABU YAKE UTAIONA HAPA HAPA DUNIA.....
JARIBU KUMWOGOPA MUNGU.... TAMBUA KWAMBA ALIYELETA UHAI DUNIANI, NDIYE ATAKAYECHUKUA UHAI HUO NA SI MWINGINE. HAKUNA MTU AMBAYE ANAMAMLAKA YA KUTOA UHAI WA MTU MWINGINE KWA JINSI YOYOTE ILE........

Rais ana majukumu mengi ya maana kazi hii ya kushughulikia wavunja sheria iko mikononi mwa polisi

Mmepewa taarifa msiandamane mkakaidi, kwanini mnaiingilia kazi za vyombo vya usalama?

Mnapenda kulialia, fanyeni kazi uchaguzi umepita ok
 
image002.jpg
 
Hawa waandamanaje kumbe hawajai hata kanisani pamoja kua yamefanyiwa Arusha ? doooo !!!
 
Rais wa Tanzania siyo mfalme wa Tanzania; tusiimuone kama mfalme ambaye neno lake basi ndiyo final.
 
Cha kusikitisha ni kwamba utamaduni huu umekuwa cultivated carefully ndani ya jamii yetu na kuonekana ni halali. Ndiyo maana alipotamka kuhusu kuunda tume ya maoni ya katiba tayari kuna wapuuzi wengi wanaamini that's final. Na i am sure hata yeye JK anadhani huo ndiyo mwisho utaratibu atapanga yeye na maamuzi yeye.
 
Uhai wa mtu ni bora kuliko hata uhimizaji wako wa kufanya kazi........ YOU SEEM TO BE CARELESS ABOUT SOMEONES LIFE. KAMA KWELI WEWE NI MCHA MUNGU, MANENO USEMAYO YATAKURUDIA, NA ADHABU YAKE UTAIONA HAPA HAPA DUNIA.....
JARIBU KUMWOGOPA MUNGU.... TAMBUA KWAMBA ALIYELETA UHAI DUNIANI, NDIYE ATAKAYECHUKUA UHAI HUO NA SI MWINGINE. HAKUNA MTU AMBAYE ANAMAMLAKA YA KUTOA UHAI WA MTU MWINGINE KWA JINSI YOYOTE ILE........

Mkuu hata mimi nasikitika sana kwa yaliyojiri, lakini huyu Mungu alisema tiini mamlaka zilizopo duniani.
Iweje wewe umeambiwa mkutano fanya lakini maandamano usifanye kwa sababu za kiusalama.,kisha wewe unakaidi na kuandamana.
Je likitokea la kutokea utamlaumu nani?
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom