Yanayotokea Arusha Rais una la kusema?

Mnapigania haki gani kwanini msisubiri uchaguzi mwingine mkajaribu bahati kama wananchi watawakubali? Watanzani tutaleta mabadiliko kwa ballot paper sio kwa jazba

Huyu mchungaji atakuwa sawa na Mchungaji mwenzake Mtikila hawana sera wanatumia wafuasi wa kanisani kwa kutetea ualji, watz hatutodanganyika na sheria ifuate mkanda dhidi ya hawa wachungaji Traitors

Tunvyama vingi tanzania na hakuna atae fanya upuuzi kama huyu mchungaji, inabidi adhibitiwe vinginevyo atatuletea matatizo watanzania.

Mzee, inaonekana wewe ni sehemu ya viziwi wa mawazo. Mara zote haki hupatikana kwa ncha ya mkuki. Usiwe na mawazo mgando mzee!

Back
Top Bottom