Yanayojiri Mtwara

Yanayojiri Mtwara

Deleted_account

JF-Expert Member
Joined
Nov 1, 2008
Posts
3,385
Reaction score
3,705
Nimepata taarifa muda si mrefu kwamba people are moving from Tunduru,Masasi,-Liwale,Nachingwea,Newala to Mtwara!...ili waandamane kesho kupinga gesi kuja mjini dar!.....na mabasi ya huko yameshusha bei kabisa like 40 percent...anybody from Mtwara?
 
Wapi Sizinga na The Big Show...

Ila kwa kuwa mkuu ameishasepa kwenda kule kwenye mahakama iliyotoa tuzo ya Dowans na atakutana na jamaa wa Total kuwaunganisha kibiashara na kijana wake, huku watu watapigika sana. Historia inaonesha akishasepa ndio polisi wanakosa uvumilivu
 
onesheni hisia zenu wana kusini,kwani serikali ilitusahau kwa muda mrefu sana,mungu awape nguvu na uzima ili mtimize lengo lenu
 
Nimepata taarifa muda si mrefu kwamba people are moving from Tunduru,Masasi,-Liwale,Nachingwea,Newala to Mtwara!...ili waandamane kesho kupinga gesi kuja mjini dar!.....na mabasi ya huko yameshusha bei kabisa like 40 percent...anybody from Mtwara?

Watahimili FFU katili? Acha waje watakuta dawa inachemka! Wenye mabasi you are risking you investments
 
Nimepata taarifa muda si mrefu kwamba people are moving from Tunduru,Masasi,-Liwale,Nachingwea,Newala to Mtwara!...ili waandamane kesho kupinga gesi kuja mjini dar!.....na mabasi ya huko yameshusha bei kabisa like 40 percent...anybody from Mtwara?

Tunduru nayo iko mkoa wa mtwara?
 
Tunduru nayo iko mkoa wa mtwara?

Hili suala si la wanamtwara peke yao ni la watu wate wa kusini.Tunduru iko Ruvuma.Nadhani pia watu kutoka Namtumbo nao watatia timu,ili nao wakianzisha mgogoro dhidi ya uranium yao nao wate support kutoka kwa wanaukanda.
 
UKOMBOZI unakaribia kutoka kwa mkoloni mweusi,serikali imepata stress,haijazoea kuona wananchi wanataka kufaidika
 
Nakubali, maana kwa TZ hakuna kitakachobadilika, Hatujafikia kujilipua! Lakini ni vyema kujaribu. Best wishes.

Wawapige mabomu ya mwishomwisho...2015 is jst around the corner. Suala la gesi litaenda na chama kizima.
 
Back
Top Bottom