Yanayojiri Mtwara

Yanayojiri Mtwara

Wanamtwara Rais MStaafu amesema njia yake inanguvu zaidi kuliko maandamano, kaeni chini mpange kama wao walivyokaa chini wakapanga
 
Kwa sababu visima vipo baharini serikali iangalie uwezekano wa kupitisha mabomba ya gas baharini yatokee lindi yaje Dar. Watu wa mtwara ambacho hawataki si bomba la gas kupita kwenye ardhi ya mtwara? Kwa sababu ukweli ni kwamba hiyo gas haikutengenezwa maeneo ya mtwara inatoka sehemu mbalimbali na maeneo mtwara kwa baharini ndipo ilipopata upenyo wa kuweza kutokea mahali panapoweza kufikika kirahisi ili tuweze ku-extract. Sasa fujo za nini?
 
Natamani mtu afe huko ndo kiherehere chenu kiishe.Serikali tumieni silaha mlizonazo dhidi ya hawa wahuni wachache wanaotuvurugia nchi

kama silaha zilivyotumika kariakoo, mwembechai na mbagala na z'bar kwa gaidi farida au sio!
 
Natamani mtu afe huko ndo kiherehere chenu kiishe.Serikali tumieni silaha mlizonazo dhidi ya hawa wahuni wachache wanaotuvurugia nchi

we ndo ---- kabisa kama unataka amani hamia uswis,unaraha gani we sida tu ndo zinakusumbua,kwanza inawezekana we nawe fisadi tu,wenye viherehere kama nyie huwa ndo tunaanza nao alafu amani baadae.
 
Back
Top Bottom