Yanayojiri Mtwara

Yanayojiri Mtwara

tumsamehe mshkaji,nimeshaedit kwa ajili yake.tunatofautiana uelewa

wengine sio kwamba hawana uelewa ila ni much-know na wanafanya makusudi kwa nia ya kuanzisha majibizano then watukane! tuwasamehe tu!
 
Aiseeee babayangu hapa naona gas itaondoka na chama hapa ngoja nione
 
tangu uhuru hadi leo barabara ya lami haijakamilika....................kazeni buti huu ndio muda wenu wa neema............mkilala imekula kwenu
 
Nimepata taarifa muda si mrefu kwamba people are moving from Tunduru,Masasi,-Liwale,Nachingwea,Newala to Mtwara!...ili waandamane kesho kupinga gesi kuja mjini dar!.....na mabasi ya huko yameshusha bei kabisa like 40 percent...anybody from Mtwara?

heri hayat bob marley pamoja nakujivutia bange zake ktk uhai wake wote lakini alitambua kua "u can ful some people some time but u cant ful all the people all the time"kuliko hawa wanaojiita madokta huku wakidhani wanaweza kuwapumbaza wa TZ waleo wapatao 42mil.ajabu!
 
Mi ningekua karibu na pande hizo ningewaunga mkono for 100% nauchungu sana na huu ukoloni wakijinga,police they can't stop people's movement and i'm sure what will happen in southern Tanzania in this year will be a history,godbless Tanzania godbless people of southern with no fear,change ni mimi,wewe,sisi pamoja twaweza.
 
wapi The Big Show!!nimemiss updates jamani,au usharudi mjini?.....mtwara aluta continua
 
Natamani mtu afe huko ndo kiherehere chenu kiishe.Serikali tumieni silaha mlizonazo dhidi ya hawa wahuni wachache wanaotuvurugia nchi
 
Natamani mtu afe huko ndo kiherehere chenu kiishe.Serikali tumieni silaha mlizonazo dhidi ya hawa wahuni wachache wanaotuvurugia nchi

Serikali itumie silaha kwa wale wakinana barabarani? Mmh na nani kasema mtu akifa ndio kiherehere kinaisha,i think unataka waliolala pia waamke
 
Wapi Sizinga na The Big Show...

Ila kwa kuwa mkuu ameishasepa kwenda kule kwenye mahakama iliyotoa tuzo ya Dowans na atakutana na jamaa wa Total kuwaunganisha kibiashara na kijana wake, huku watu watapigika sana. Historia inaonesha akishasepa ndio polisi wanakosa uvumilivu

Sijajua kuhusu hilo lakini hamna maandamano au mikutano mikubwa recently...mkutano mkubwa utakaokusanya watu kutoka pande nyingi ni ule wa tarehe 22/2/2013 pale Lindi na 23/2 huku Mtwara...Prof Lipumba atakuwapo!!
 
Natamani mtu afe huko ndo kiherehere chenu kiishe.Serikali tumieni silaha mlizonazo dhidi ya hawa wahuni wachache wanaotuvurugia nchi


haya sasa mtu mmoja ashakufa leo,umefurahi? umepata nini? damu yake haiwezi kupotea bure waambie mafisadi wenzio damu ya mtu haiendi bure!
 
Back
Top Bottom