mcubic
JF-Expert Member
- Mar 3, 2011
- 10,307
- 6,514
Muda huu Azam TWO wapo mubashara kabisa jijini Arusha ambapo chama kinachoibuka kwa kasi ya Usain Bolt, ACT wazalendo kinaazimisha miaka 50 ya azimio la Arusha ( Azimio la Tabora lililohuishwa).
Wameanza na marudio ya mdahalo uliofanyika Dodoma kuhusiana na azimio la Arusha, ambapo washiriki wengi walitoka chama chakavu (CCM), ambao kimsingi wanapractice ubepari ila kinadharia wanajifanya wajamaa.
Tufuatilie ili tupate kujifunza.