Yanayojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

Status
Not open for further replies.
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana.
Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu.
Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
 
Leo kesi hiyo inaendelea tena mahakamani hapo ambapo Jamhuri itaendelea kuleta mashahidi wake , kumbuka kwamba mpaka leo Mbowe ametimiza siku 111 gerezani .

Jaribio la Kishamba lililopangwa na Polisi la kuzuia watu kuingia Mahakamani limeshindwa , nguvu ya umma imeshinda .

Ngoja tuone leo Shahidi atakayeletwa atatoa ushahidi gani .

==========
Mungu ibariki CHADEMA
 
Kesi hii inatufundisha mengi ndio maana tunatunza maelezo tote yanayotolewa mahakamani natutaendelea kutunza mpaka siku ya hukumu ili tujifunze mengi kupitia mahakama zetu.
 
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana.
Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu.
Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
We andika bila ushabiki usitutishe.
 
Leo kesi hiyo inaendelea tena mahakamani hapo ambapo Jamhuri itaendelea kuleta mashahidi wake , kumbuka kwamba mpaka leo Mbowe ametimiza siku 111 gerezani .

Jaribio la Kishamba lililopangwa na Polisi la kuzuia watu kuingia Mahakamani limeshindwa , nguvu ya umma imeshinda .

Ngoja tuone leo Shahidi atakayeletwa atatoa ushahidi gani .

==========
Shahidi wa leo sijui atakuja na ngonjera gani, ngoja tusubiri
 
Gaidi linazeeka vibaya walifunge miaka 50jela liwe fundisho kwa wengine
Ni kweli asinge kuwa Gaidi CCM ingeshinda Viti vyote vya ubunge,Isinge kuwa Gaidi serikali Ungekuwa tajari sana,tusingekuwa tunalia kuhusu Zahanati Leo.Isingekuwa Gaidi Sasa hivi vijana wetu wangekuwa na ajira wote.Isingekuwa Gaidi mama yako anaumwa kansa angekuwa ameshapona.Gaidi afungwa miaka 50 ili umaskini CCM uondoke.
 
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana.
Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu.
Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
Tang'ana naona uko nyutro. Tupia vitu mura, tusipotoshwe huku
 
Kama walivyomgeuka mama muuza
Mama muuza mbege wamemgeuka vibaya bila huruma. Tena ASP Mahita alivoulizwa vipi ni muongo huyo mama, nae akasema kwa msisitizo kabisa ndio ni muongo.

Mama muuza mbege alisema yeye ndio alijaza karatasi za ukamataji mali baadhi alijaza wakati amesimama na nyingine alijaza wakati amekaa. Ndio maana signature zake ni mbili tofauti kwenye hizo karatasi.

Afande Mahita akaja na series yake akasema Afande Jumanne ndio alijaza karatasi za ukamataji.

Afande Kingai nae akaitwa muongo na hakuwepo kwenye ukamataji ila alikuja baada ya ukamataji. Yeye alisema ndio alikua kiongozi wa msafara wa ukamataji eneo la Rau.

Kila anaekuja kutoa ushahidi anamuita mwenzake aliepita ni muongo. Sasa nani mkweli?

Jamhuri FC haibebeki hata refa akaiamua kubeti. Hii ngoma afe kipa, afe beki, hawachomoki (Watapindisha hukumu High Court ila Mahakama Ya Rufaa au Mahakama Ya Africa Ya Haki Za Binaadamu, hawachomoki.)

Haki inaweza kucheleweshwa na mahakama mbuzi zetu, ila itapatikana tu huko juu.
 
Yan jamaa anaumia kwa kusota jela sie tunachekelea kufuatikia episode za kesi online😁

Una maana nyie mnapochekelea kufuatilia episode wenzenu polisi pale mahakamani wanaumia mno roho na ndiyo maana wanazuia wenzetu kuingia ili wasihabarishe online?

Mambo mengine haya tulishawaambia kubakia nayo Chatto na Makunduchi bado kusikia shida.

Hiiiiii bagosha!
 
Eti Abriana, Kama Ni virahisi hivyo aanzishe ya kwake. Ukisha kuwa CCM Basi akili zinakuwa za kushikiwa
Inashangaza sana, kwenye uzi ambao una maslahi makubwa ya wananchi mtu anakuja na commwnt zake za hovyo
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom