Yanayojiri Mahakama Kuu Divisheni ya Uhujumu Uchumi kwenye kesi ya Ugaidi inayomkabili Mbowe na wenzake

Status
Not open for further replies.
Leo kesi hiyo inaendelea tena mahakamani hapo ambapo Jamhuri itaendelea kuleta mashahidi wake , kumbuka kwamba mpaka leo Mbowe ametimiza siku 111 gerezani .

Jaribio la Kishamba lililopangwa na Polisi la kuzuia watu kuingia Mahakamani limeshindwa , nguvu ya umma imeshinda .

Ngoja tuone leo Shahidi atakayeletwa atatoa ushahidi gani .

==========
MMM anasema Jaji ameshaingia, hapa vipi
 
lazima tujifunze kuwa kazi ya mahakama ni kutoa Haki, lakini HAKI inaweza kuwa kufungwa jela pia HAKI inaweza ikawa kuachiwa huru.
Hivyo yatupasa tuelewe na tukubali kuwa hayo yote Mawili yaani;
1.KUFUNGWA JELA AU
2.KUACHIWA HURU
Yote hayo ni HAKI.
Tusijidanganye tukidhani Haki ni kuachiwa huru tu halafu tukajisahalisha kuwa kumbe Haki inaweza kuwa kifungo jela.
Kama Jaji Mkuu mstaafu aliweza kumlalamikia Rais kuhusu vimemo vya hukumu vinavyowapa shida mahakimu na majaji, siwezi kukuamini wewe asilani.
 
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana.
Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu.
Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
wanalijua hilo ila wanapotosha umma kwa maksudi ili ionekane wanaonewa au wameonewa.
 
lazima tujifunze kuwa kazi ya mahakama ni kutoa Haki, lakini HAKI inaweza kuwa kufungwa jela pia HAKI inaweza ikawa kuachiwa huru.
Hivyo yatupasa tuelewe na tukubali kuwa hayo yote Mawili yaani;
1.KUFUNGWA JELA AU
2.KUACHIWA HURU
Yote hayo ni HAKI.
Tusijidanganye tukidhani Haki ni kuachiwa huru tu halafu tukajisahalisha kuwa kumbe Haki inaweza kuwa kifungo jela.
Unataka kusema kuwa tafsiri sahihi ya haki ni kfungwa jela au kuachiwa huru?
 
wanalijua hilo ila wanapotosha umma kwa maksudi ili ionekane wanaonewa au wameonewa.
Yote Ni mema,Mungu wetu Ni zaidi ya Mwanadamu .Nyie ni binadamu tu na mtakufa siku moja.Hata Kama atafungwa furahini na Kushangilia Kwani matatizo yenu yatakuwa yameisha.
 
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana.
Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu.
Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
Mbona hautofautiani na kwenye vyombo vya habari?
Naomba na wewe tupe ukweli hakuna anayekukataza.
 
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana.
Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu.
Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
Kuna MTU amekuzuia kuanzisha Uzi wako na washirika wenzeo CCM.Ni hivi sisi tuko tayari Kwa lolote mtakalo liamua.
 
lazima tujifunze kuwa kazi ya mahakama ni kutoa Haki, lakini HAKI inaweza kuwa kufungwa jela pia HAKI inaweza ikawa kuachiwa huru.
Hivyo yatupasa tuelewe na tukubali kuwa hayo yote Mawili yaani;

1. KUFUNGWA JELA AU
2. KUACHIWA HURU

Yote hayo ni HAKI.

Tusijidanganye tukidhani Haki ni kuachiwa huru tu halafu tukajisahalisha kuwa kumbe Haki inaweza kuwa kifungo jela.
Ni kweli lakini haki inatakiwa ionekane ikitendeka sio kama huu ujinga ujinga unaoendelea kwenye hii kesi ya kubambikwa kila kitu kipo wazi ni kesi ya kubambikwa.
 
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana.
Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu.
Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
Swadaktaaa
 
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana. Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu. Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
Ungetuma wewe report isiyo ya kishabiki ili kuwaumbua hao wanaotuma kishabiki.
 
Tatizo nyie mnaoreport hii kesi mnareport kishabiki sana.
Last Friday nilihudhuria,mengi yanayoandikwa humu yanaandikwa kishabiki tu.
Mimi sio mtaalamu wa sheria ila kwa hali niliyoiona na kusikia pale mahakaman siku zile,tuwaombee tu kwa Mungu hao washtakiwa,maana Mungu tu ndie anaweza kuwatetea.
Wewe ni mtu Muungwana sana tunashukuru.
Tangu tumeanza kuhanarishwa kuhusu hii kesi mitandao mingi na vyombo vingine vya habari zikiwemo TV na Magazeti vinatumia ripoti hizihizi tunazosoma Jf.
Sasa wewe mwenye taarifa tofauti anbaye unaona tunadanganywa anzisha Uzi mwingine uwe unatuletea habari isiyo na ushabiki. Hata sisi hatutaki kabisa ushabiki lakini tunaridhika na tunachopata maana tunawaamini wanaotuletea habari mpaka pale watakapopatikana wengine wakatuletea kinyume chake.
Pia nguvu inayotumiwa na Polisi kuzuia kuripotiwa kwa kesi hii inasababisha tuwaamini wanaoileta kwamba wako sahihi.
Au hata ile kesi ndogo haikuwahi kutokea ni porojo tu za kina Erythrocytes na wenzake?
 
Una maana nyie mnapochekelea kufuatilia episode wenzenu polisi pale mahakamani wanaumia mno roho na ndiyo maana wanazuia wenzetu kuingia ili wasihabarishe online?

Mambo mengine haya tulishawaambia kubakia nayo Chatto na Makunduchi bado kusikia shida.

Hiiiiii bagosha!
Okay sawa.ila ungepanua akili zaid kuliko kupanua vidole ✌ ungeweza kunielewa mkuu kwambo siko kishabiki..
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom