Yanayojiri Kutoka uwanja wa taifa,

Kama kawaida,VIJANA WA MWEMA WANAANGALIA MPIRA!CJUI NDO UTARATIBU?
 
Mmekosa kazi ya kufanya kwa kufatilia soka la bongo.

Mpwa hivi huna mapepo kweli? Ww si ndio yule yule unaisifia bongo? mmh hii nayo ni alama ya mnafiki, leo CCM nzuri ila soka la bongo No!!! Kaazi kweli kweli!
 
Mpwa hivi huna mapepo kweli? Ww si ndio yule yule unaisifia bongo? mmh hii nayo ni alama ya mnafiki, leo CCM nzuri ila soka la bongo No!!! Kaazi kweli kweli!

soka la bongo lina uhusiano gani na ccm.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom