mbunge wa chadema anaitwa nani? tujuze
hivi hawa wametumwa na Ibilisi kutuvuruga?
kuna ugumu gani kuhesabu kura na kupanga jedwali? Hata mtoto wa shule ya msingi si anaweza fanya....wananiudhi kweliii
Baada ya FFU kurusha mabomu ya machozi hali imetulia, mkurugenzi ameendelea na kutangaza matokeo. Tumshukuru Mungu