Hii issue ya ESCROW imekosa maana kabisa hasa baada ya kuwepo kwa fitina za kuchafuana kwa sababu ya kuusaka urais na kukosa vitalu vya gesi. Ujinga tu wanakwenda kujadili, haina lolote sana sana wataanza kuumbuana namna wanavyotumka kama vibaraka wa Lowassa na MengiYaani we hayawani unahangaika sana....sisi hatupersonalize hii situation yeyote anayehusika anatakiwa kuwajibishwa....Serikali yenu dhaifu nakuhakikishia kabla haijaondoka mamlakani itakumbwa na kashfa nyingine