Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo Jumanne 25 Nov, 2014

Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo Jumanne 25 Nov, 2014

Habari JF
Ni majuzi bw. Zitto Kabwe ndani ya bunge anasimama na kusema kazi yao kama kamati inekamilika, isitoshe hata kama itahitajika muda wowote itawasilishwa, maajabu ya Musa leo Spika Makinda anasema kamati ya PAC haijamjulisha kukamilika kwa ripoti, huu ni usanii na ujinga

Zitto akiwa anazijua sheria na taratibu za bunge kazi imekamilika mpaka leo hajakijulisha kitu kukamilika kwa kazi yao, halafu anasimama na kusema wamemaluza kazi yao gta kama itahitajika kesho itasomwa kama siyo kununuliwa huku ni nini??

WanaJF nanyi litazameni kwa mapana yake, hili jambo ni ngumu kulifahamu mwisho wake
Zitto ndo alivyo , anataka azime hoja mwenyew
 
TRA imepewa mamlaka makubwa bila yenyewe kufuatiliwa: Kambi ya upinzani inapendekeza kuwa mamlaka haya ni hatari kwa utawala bora...hivyo mamlaka haya yanapaswa kupunguzwa: Mbatia
 
Leo BAVICHAA wenye kumuunga mkono Mbowe (nadhani itakuwa kama si wote basi wengi wao ni Wachagga) wapo Dodoma kama wageni wa Mbowe, naona Mbowe anaenda kuwapooza baada ya habari zake za kuwa kalamba 1.6 B zimetoka humuhumu JF.

JF leo matusi yatapungua kidogo na kutapoa mpaka mchana, isipokuwa kwa wale bavichaa walioonekana hawana faida ya kualikwa na Mbowe, hasira zao zote tutaziona humu.

Tazama povu sasa litavyoanza kuwatoka walioonekana hawana maana ya kualikwa Dodoma.

Ha ha ha hiyo singo ya Mbowe kulamba 1.6 B imebuma, jipangeni upya!
 
kwa namna ambavyo bunge la tz linavyoongozwa na spika ni dhahiri kwamba yupo pale kwa lengo la kusimamia maslahi ya mhimili mwingne,utaratibu wa miongozo ni utaratibu wa kawaida unaoombwa na mbunge,lakini mh spika anagoma kuwapa muda baadhi ya wabunge kupatiwa mwongozo wake kwao,hvyo upendeleo dhahiri waoneshwa na huyu Mama.nyota ya Mh naibu spika inaendelea kukua kwa wengi wanaochukia wizi na ubadhirifu wa mali ya umma.

Makinda, Ndugai na ccm yao wote ni walewale....wezi na wabadhirifu wa mali za umma...
 
Leo BAVICHAA wenye kumuunga mkono Mbowe (nadhani itakuwa kama si wote basi wengi wao ni Wachagga) wapo Dodoma kama wageni wa Mbowe, naona Mbowe anaenda kuwapooza baada ya habari zake za kuwa kalamba 1.6 B zimetoka humuhumu JF.

JF leo matusi yatapungua kidogo na kutapoa mpaka mchana, isipokuwa kwa wale bavichaa walioonekana hawana faida ya kualikwa na Mbowe, hasira zao zote tutaziona humu.

Tazama povu sasa litavyoanza kuwatoka walioonekana hawana maana ya kualikwa Dodoma.

Naww umeandika nn hapa...
 
Nusu ya wabunge wa bunge la jamuhuli ya muungano katika hali isiokuwa ya kawaida wamekikwepa kikao cha leo jioni ambacho kiingeendeshwa na mh:anne makinda ili kubaki katika hotel kumsikiliza joseph warioba na timu yake katika mdahalo leo jioni Utakaorushwa na kituo cha ITV .Mmoja wa wabunge ambae akutaka jina litajwe ambae ni wa chama tawala alisema ni upuuzi kuwa bungeni kwa jioni hii, alimaliza!! Hata hivyo kikao cha bunge kitaendelea leo jioni ingawa kitakuwa na wabunge wachache sana.
 
Ni upuuzi pia kuwa mwanaccm kwa kweli.
 
wanasoma ripoti ya CAG,HUJUI KUWA WAMESHAGAWIWA TAYARI,,KESHO PANACHIMBIKA,,,,REJEa nyuzi za nyuma,walishasema kwamba vikao vya jioni ya leo hawatahudhuria kwa wingi kwa lengo la kusoma vizuri hayo madudu ya ccm,,,
 
Kwa thread uliyoanzisha alikuwa anakusifia tu na sio yeye hata mimi nimeelewa kama yeye na haina maana atuheshimu mama zetu hiyo ndio ilikuwa njia pekee ya kukupasha na watu wasipate ban jioni hii, siku nyingine usitafutie watu ban wakiwa na stress nyingi bora uwe unapost huko kwenu FB.

una akili za kibaguzi na chuki kubwa kwa wanawake cjui kama mama ako unamheshimu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom