Super Sub Steve
JF-Expert Member
- Jul 9, 2011
- 17,715
- 11,322
Television ya taifa leo wakati spika anatambulisha wageni kila akitaja wageni kamera zilikuwa zikiwaonesha wageni wakisimama na kupungia mkono,lakini kila wakitajwa wageni wa viongozi wa upinzani kamera hazikuwaonesha kabisa,wakiwepo BAVICHA pia wageni wa Moses Machali.Hii ni makusudi au bahati mbaya?
kwa namna ambavyo bunge la tz linavyoongozwa na spika ni dhahiri kwamba yupo pale kwa lengo la kusimamia maslahi ya mhimili mwingne,utaratibu wa miongozo ni utaratibu wa kawaida unaoombwa na mbunge,lakini mh spika anagoma kuwapa muda baadhi ya wabunge kupatiwa mwongozo wake kwao,hvyo upendeleo dhahiri waoneshwa na huyu Mama.nyota ya Mh naibu spika inaendelea kukua kwa wengi wanaochukia wizi na ubadhirifu wa mali ya umma.