julinyanda
JF-Expert Member
- Sep 17, 2014
- 203
- 87
Mwambie aache porojo huku kwetu tarime ccm baadhi ya vitongoji na mitaa mingine huwakusimamisha wagombea ni wapi huko wamepita vila kupingwa.
Mkuu najua itanisaidiaje,nafuu iliyopo jijini Mwanza tangu iangukie mikononi mwa cdm twaijua wenyewe ,wacha tupate nafuu huku maana wa tz wagumu mno kuelewa,so sad kwa kweli,kwa Mwanza big no,nipo na emergency leave kazini kwa ajili ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa tangu jana,na piga mzigo na makamanda wenzangu na silipwi na mtu,Igoma jana tumekamata vituo feki 9,tuna komaa.

Tupate takwimu sahihi kama ni kweli nitaamini kweli ziara za Mbowe, Slaa, bavicha, mdee, slum mwalimu , lipumba n.k havikuwa na tija yoyote.Akichangia kwenye muswada wa VAT amesema CCM imepita bila kupingwa kwenye zaidi ya nusu ya vijiji vyote Tanzania. Hapa ndipo naanza kuingiwa na Hasira. Hivi vyama vya upinzani wanapewa ruzuku ili wafanye nini? Huku Vijijini hawana wanachama watashindaje uchaguzi?
= tafadhali
Inaelekea u mwalimu wa kiswahili
Television ya taifa leo wakati spika anatambulisha wageni kila akitaja wageni kamera zilikuwa zikiwaonesha wageni wakisimama na kupungia mkono,lakini kila wakitajwa wageni wa viongozi wa upinzani kamera hazikuwaonesha kabisa,wakiwepo BAVICHA pia wageni wa Moses Machali.Hii ni makusudi au bahati mbaya?
jf sio msalani wewe
Bora, kumbe unajua kuwa TBC haitakiwi.sasa nyinyi hamuitaki tbc na yemyewe inawakataa
Hapo nadhani umefanya unconscious judgement.
Kuna nyakati nyingi sana tu huwa camera hazioneshi wageni mbalimbali. si makusudi. hutokea mara kibao.
ACHA KUTULETEA HOJA CHANGA NA ZAKITOTO HUMU. HOJA LEGEVU SANA HIYO.
Watu tuko bussy na ESCROW,wewe unaleta soga tu hapa.
MKUU uwatake radhi wanawake kwa kuwatusi
Nimeuliza tu kuwa ilikuwa makusudi au bahati mbaya? halafu umeangalia jinsi tukio lilivotokea?