Yanayojiri bungeni Dodoma: Leo Jumanne 25 Nov, 2014

Akichangia kwenye muswada wa VAT amesema CCM imepita bila kupingwa kwenye zaidi ya nusu ya vijiji vyote Tanzania. Hapa ndipo naanza kuingiwa na Hasira. Hivi vyama vya upinzani wanapewa ruzuku ili wafanye nini? Huku Vijijini hawana wanachama watashindaje uchaguzi?
 
Porojo za Mwigulu hizo aseme vijiji vya wapi? Maana 2009 walipata wilaya 38 bila kupingwa , leo waseme wapi wilaya moja ?
 
Hongera chama cha wananchi, hapa ndipo tunapata picha ya ukweli kuwa chama change musings vijini ni CCM KM Kinana kufanya kazi kubwa kukifufua chama
 
Ccm wajanja sana, hapo tu ndipo wanapowapatia wenzao...
 
UKAWA wamepita bila kupingwa robo tatu ya wenyeviti wote Tanzania
 
Inasikitisha sana,ok wacha ccm washinde huko but not Mwanza,wakitoboa Mwanza naacha siasa na nina hama nchi.
 
Naona ccm wanajifariji kweli kweli hiyo yote nikututoa kwenye mstari wa kujadili swala la Escrow
 
Inabidi viongozii wa upinzani watueleze, ni kweri au sio kweri na kama ni kweri inakuwaje wanakosa wagombea karibu nusu ya vijiji nchi nzima?
 
Inasikitisha sana,ok wacha ccm washinde huko but not Mwanza,wakitoboa Mwanza naacha siasa na nina hama nchi.

Wakishinda Mwanza tu, itakusaidia nini? watu wanataka ukombozi nchi nzima na sio mwanza pekee.
 
Akichangia kwenye muswada wa VAT amesema CCM imepita bila kupingwa kwenye zaidi ya nusu ya vijiji vyote Tanzania. Hapa ndipo naanza kuingiwa na Hasira. Hivi vyama vya upinzani wanapewa ruzuku ili wafanye nini? Huku Vijijini hawana wanachama watashindaje uchaguzi?

tuko escrow bana.
 
Nimeangalia tbc kidogo namuelewa lakini lazima ajisafishe na madudu yaliyo vichwani mwa watu! Siku za nyuma katumika vibaya sana!
 
Akichangia kwenye muswada wa VAT amesema CCM imepita bila kupingwa kwenye zaidi ya nusu ya vijiji vyote Tanzania. Hapa ndipo naanza kuingiwa na Hasira. Hivi vyama vya upinzani wanapewa ruzuku ili wafanye nini? Huku Vijijini hawana wanachama watashindaje uchaguzi?

Tegeta Escrow account-Bring back our money
 
Wakishinda Mwanza tu, itakusaidia nini? watu wanataka ukombozi nchi nzima na sio mwanza pekee.

Mkuu najua itanisaidiaje,nafuu iliyopo jijini Mwanza tangu iangukie mikononi mwa cdm twaijua wenyewe ,wacha tupate nafuu huku maana wa tz wagumu mno kuelewa,so sad kwa kweli,kwa Mwanza big no,nipo na emergency leave kazini kwa ajili ya uchaguzi huu wa Serikali za Mitaa tangu jana,na piga mzigo na makamanda wenzangu na silipwi na mtu,Igoma jana tumekamata vituo feki 9,tuna komaa.
 
Nimeumia sana kusikia ccm wamepita bila kupingwa kwenye vijiji zaidi ya nusu Tanzania hebu ukawa njooni na data kamili hapa kuna vijiji vingapi au vitongoji na vijiji vingapi hakuna wagombea ambapo ccm wamepita bila kupingwa naamini mna viongozi kila jimbo na juzi juzi tu kulikuwa na uchaguzi wa chadema kila jimbo .....mwenye maelezo kamili ashushe hapa mana huku ni kukatishana tamaa....na mwigulu amefanya hvyo either kukatisha watu tamaa au propaganda
 
Sijajua bado kazi ya viongozi wa majimbo ni nini hadi kutosimamisha wagombea baadhi ya sehemu......
 
Nimeumia sana kusikia ccm wamepita bila kupingwa kwenye vijiji zaidi ya nusu Tanzania hebu ukawa njooni na data kamili hapa kuna vijiji vingapi au vitongoji na vijiji vingapi hakuna wagombea ambapo ccm wamepita bila kupingwa naamini mna viongozi kila jimbo na juzi juzi tu kulikuwa na uchaguzi wa chadema kila jimbo .....mwenye maelezo kamili ashushe hapa mana huku ni kukatishana tamaa....na mwigulu amefanya hvyo either kukatisha watu tamaa au propaganda

Propaganda za Wahuni tu hizo. Achana nazo
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom