Tujisahihishe Tz
Platinum Member
- Nov 17, 2011
- 3,061
- 1,367
hii post wataiondoa pia, yangu wameiondoa
..............naona unaongeza idadi tu ya post zako; poa!!!Habari JF
Ni majuzi bw. Zitto Kabwe ndani ya bunge anasimama na kusema kazi yao kama kamati inekamilika, isitoshe hata kama itahitajika muda wowote itawasilishwa, maajabu ya Musa leo Spika Makinda anasema kamati ya PAC haijamjulisha kukamilika kwa ripoti, huu ni usanii na ujinga
Zitto akiwa anazijua sheria na taratibu za bunge kazi imekamilika mpaka leo hajakijulisha kitu kukamilika kwa kazi yao, halafu anasimama na kusema wamemaluza kazi yao gta kama itahitajika kesho itasomwa kama siyo kununuliwa huku ni nini??
WanaJF nanyi litazameni kwa mapana yake, hili jambo ni ngumu kulifahamu mwisho wake
Habari JF

Mkuu ulitaka ahare nini? Uharo nao ni mavi. Kiswahili safi ni kuhara au unakunya halafu unaishia hapo bila kuongeza maneno "mavi" au "uharo"
Mwambie Mbowe arudishe kwanza fedha zetuBRING OUR MONEY BACK,usitutoe kwenye mada.
Sister si umeona, hakuna issue kabisa leo
Mwambie Mbowe arudishe kwanza fedha zetu
Hawa masawe nchi awape nani?Halafu umeona wanavyozifanya nyuzi zetu, kila tukianzisha nyuzi amma inafutwa amma inaunganishwa na nyingine. Halafu tuwape nchi hawa?
Maawe.
Baada ya kupata taarifa kuwa hata Mbowe kalamba 1.5 b, misukule ya kinondoni inachangia kiunyongeee!
laana ya mama ndio inayomsumbuauna akili za kibaguzi na chuki kubwa kwa wanawake cjui kama mama ako unamheshimu